Hongera sana mkuu cha msingi andaa pesa kama uliyonunulia hiyo gari, usipokuwa makini unaweza kuiuzia bandarini maana ushuru utadhani maji ya bahari ya hindi serikali yako sikivu huwa inayalipia ushuru!!
.....calculator inahusika hapa qasikuogopeshe....ni kama 5.5
Ingia tovuti ta tra.go.tz kuna calculator itakayo kusaidia kupata hesabu sahihi ya kodi itakayo kuhusu.Gharama zingine hazita fikia milioni moja baada ya kodi.
Calculator yenyewe ni rahisi kuitumia
Ndinga ni ya mwaka 2002 ujue........hakuna uchakavu.........
au ndo tutafute X......
Preta naskia gari za 2005 kushuka chini ni lazma ziwe na kodi ya uchakavu kama skosei, right...?.
Kwa mjibu wa calculator ya tra total tax ni 5541165
Uchakavu wake ni dola 1167.75
Ndivyo nilivyosikia........ila sasa huyu Zamaulid anavyorukaruka..........lakini anaweza akawa ana maanisha........nadhani ana kauzoefu kidogo.........hebu fuatilia hapa chini.........unaweza ona aliishia wapi............
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/420774-gari.html
Wakala,bandari,usajili,bima nkUnaposema gharama zingine ni kama zipi mkuu ambazo hazifiki milioni moja kiongozi...?.
Ndivyo nilivyosikia........ila sasa huyu Zamaulid anavyorukaruka..........lakini anaweza akawa ana maanisha........nadhani ana kauzoefu kidogo.........hebu fuatilia hapa chini.........unaweza ona aliishia wapi............
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/420774-gari.html
Angalizo Custom value izingatiwe! Isije ukawa una sema kodi 5.5 wakati total invoice value yake ni kubwa kuliko total custom value kulingana na tra calculator
Wakala,bandari,usajili,bima nk
Hiyo calculator ya TRA ni ngumu.........mi hata siielewi........
nakuomba utukokotolee hii halafu utuwekee hapa Ili tuelewe vizuri.........
Angalizo Custom value izingatiwe! Isije ukawa una sema kodi 5.5 wakati total invoice value yake ni kubwa kuliko total custom value kulingana na tra calculator
total taxes 5.5 ml,shipping line 160000,port charges 350000,agent fee 295000,registration plus road licence 380000,plate number 40000 kokotoa mwenyewe jumla kuu
mkuu Mshana ubarikiwe sana kwa uzi wenye manufaa kama huu
Naomba kujuzwa nina jamaa angu tupo ofisi moja anataka agiza gari ,kati ya MAZDA TRIBUTE na SUBARU FORESTER unamshauri achukue ipi in terms of durability and availability of spare parts.
Mungu akubariki sana!