Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Hongera sana mkuu cha msingi andaa pesa kama uliyonunulia hiyo gari, usipokuwa makini unaweza kuiuzia bandarini maana ushuru utadhani maji ya bahari ya hindi serikali yako sikivu huwa inayalipia ushuru!!

Asante kiongozi nashkuru sana ni kweli mkuu suala la ushuru ndilo linaloumiza sana kichwa kiongozi ndio mana nikasema nikimbilie hapa mahala ili kuweza kupata msaada kabla mambo hayajawa mazito aisee.
 
Ingia tovuti ta tra.go.tz kuna calculator itakayo kusaidia kupata hesabu sahihi ya kodi itakayo kuhusu.Gharama zingine hazita fikia milioni moja baada ya kodi.
Calculator yenyewe ni rahisi kuitumia

Unaposema gharama zingine ni kama zipi mkuu ambazo hazifiki milioni moja kiongozi...?.
 
Ndinga ni ya mwaka 2002 ujue........hakuna uchakavu.........
au ndo tutafute X......

Preta naskia gari za 2005 kushuka chini ni lazma ziwe na kodi ya uchakavu kama skosei, right...?.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ndivyo nilivyosikia........ila sasa huyu Zamaulid anavyorukaruka..........lakini anaweza akawa ana maanisha........nadhani ana kauzoefu kidogo.........hebu fuatilia hapa chini.........unaweza ona aliishia wapi............

https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/420774-gari.html

Well, nimepita hapo mkuu nimeona kiongozi i hope ataweza kutusaidia kupata mwangaza walau............thanks for the link Preta ngoja tusubiri kuona mwisho itakuwaje kiongozi, THANKS MAMMY.
 
Last edited by a moderator:
Angalizo Custom value izingatiwe! Isije ukawa una sema kodi 5.5 wakati total invoice value yake ni kubwa kuliko total custom value kulingana na tra calculator
 
Angalizo Custom value izingatiwe! Isije ukawa una sema kodi 5.5 wakati total invoice value yake ni kubwa kuliko total custom value kulingana na tra calculator

Hiyo calculator ya TRA ni ngumu.........mi hata siielewi........
nakuomba utukokotolee hii halafu utuwekee hapa Ili tuelewe vizuri.........
 
Wakala,bandari,usajili,bima nk

Ooh okay sawasawa kiongozi wakala ni laki 3 na mkuu MANI alisema bandarini pia ni laki 3 naskia pia kuna muda ambao wanampa mteja kuhifadhi mzigo then baada ya hapo zikiisha hizo siku ndio unaanza kulipia kwa siku sjui wana-charge kiasi gani............bado hizo registration pamoja na bima kiongozi.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo calculator ya TRA ni ngumu.........mi hata siielewi........
nakuomba utukokotolee hii halafu utuwekee hapa Ili tuelewe vizuri.........

Ni kweli kabisa aseee wanachanganya sana hawa jamaa kwa kweli naskia muda mwengine huwa wanakisia tu hawafati bei husika uliyonunulia gari mkuu...!.
 
total taxes 5.5 ml,shipping line 160000,port charges 350000,agent fee 295000,registration plus road licence 380000,plate number 40000 kokotoa mwenyewe jumla kuu
 
Angalizo Custom value izingatiwe! Isije ukawa una sema kodi 5.5 wakati total invoice value yake ni kubwa kuliko total custom value kulingana na tra calculator

Yes nlishaskia hilo suala kuwa custom value iwe juu kuliko bei ya manunuzi yani bei ya manunuzi isiwe juu sana kuliko custom value kiongozi sasa bado sjajua custom value ya gari hii ni kiasi gani mkuu...?.
 
total taxes 5.5 ml,shipping line 160000,port charges 350000,agent fee 295000,registration plus road licence 380000,plate number 40000 kokotoa mwenyewe jumla kuu

Thanks kiongozi kwa msaada wako kwa hesabu hii iliyopo hapa custom value umepata ni ngapi mkuu...?.
 
mkuu Mshana ubarikiwe sana kwa uzi wenye manufaa kama huu
Naomba kujuzwa nina jamaa angu tupo ofisi moja anataka agiza gari ,kati ya MAZDA TRIBUTE na SUBARU FORESTER unamshauri achukue ipi in terms of durability and availability of spare parts.
Mungu akubariki sana!

Mkuu hayo yote ni magari poa kabisa japokuwa Mazda Tribute watu wanaziogopa bure Tribute zinaingiliana spare nyingi tu na Suzuki Escudo/vitara kama nayoisukuma japo Dar sio nyingi lakini ni suv poa kabisa urari wake ni kwamba zote ni imara sana na spare zake zinapatikana bila wasiwasi,mapenzi yake tu yaamue asiiogope,spare za hayo yote zipo,Subaru hata siizungumzii coz zipo hapa town za kutosha hivo hata asiogope. Tribute ni genre moja na Suzuki Escudoz so mwambie asiogope hayo yote yanatengenezeka vizuri kabisa.
 
Back
Top Bottom