KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Hongera sana mkuu cha msingi andaa pesa kama uliyonunulia hiyo gari, usipokuwa makini unaweza kuiuzia bandarini maana ushuru utadhani maji ya bahari ya hindi serikali yako sikivu huwa inayalipia ushuru!!
Asante kiongozi nashkuru sana ni kweli mkuu suala la ushuru ndilo linaloumiza sana kichwa kiongozi ndio mana nikasema nikimbilie hapa mahala ili kuweza kupata msaada kabla mambo hayajawa mazito aisee.