Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Reference Number1415412147
Make:NISSAN
Model:X-TRAIL
Body Type:SUV
Year of Manufacture:2002
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:1001 - 2000 CC
Customs Value CIF (USD):3114.00
Import Duty (USD):778.50
Excise Duty (USD):194.63
Excise Duty due to Age (USD):1167.75
VAT (USD):945.88
Total Taxes (USD):3087
Total Taxes (TSHS):5541165
Mkuu unaongeza na usajili 150,000
Ada ya mwaka(motor vehicle 230,000
Kulingana na calculator ya TRA Bandalini
unaweza kuulizia wahusika Kiongozi
 
Hiyo calculator ya TRA ni ngumu.........mi hata siielewi........
nakuomba utukokotolee hii halafu utuwekee hapa Ili tuelewe vizuri.........

Kuna mdau ameipost page yenye hesabu Total Custom Value (CIF) inatakiwa kuwa $3114 sasa unaweza kuwa na invoice Value yake ni zaidi ya hiyo kodi lazima itazidi 5.5
 
Gari ya bei ndogo sana hata gharama zake hupaswi kuuluzia labda gari za UK,Gmn, Us ningeweza kukusaidia
 

Mkuu umesahau kuna cpf charges ndio maana nikamweleza aandae 6.5 ml na hiyo calculator TRA saa nyingine haiwafuati ipasavyo.
 
Hapo ndipo TRA wanawachanganya waagizaji na huenda ikapelekea kutoeleawana katika pande husika.
Mfano angalia hapo kwenye calculator ya TRA inasema US $3,114 wakati invoice ya muagizaji inasema uS $3,600.
Hapa ni wazi ushuru wa hii gari hauwezi kuwa 5.5m.
Labda vinginevyo aje mtu hapa anayeelewa hili eneo atupe ufafanuzi kiundani zaidi.
cc: KIOO, [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=20033"]mayoscissors, [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=20103"]Preta[/URL][/URL]

 
Preta kama unapenda x_trail uko na cyo yakuuza labda uazimishwe utumie hadi cku ukipata nguvu ununue gari nzuri bwana 0kms ndo mpango mzima hapa mjini UK ,Gmn na Us ndo gari za maana x-train gari mbovu.
 
Thanks kiongozi kwa msaada wako kwa hesabu hii iliyopo hapa custom value umepata ni ngapi mkuu...?.
ukishamaliza huko ujee kwenye spea ulimwee chezea X trail wewe .........spea juu alafu vimeooo
 
Preta kama unapenda x_trail uko na cyo yakuuza labda uazimishwe utumie hadi cku ukipata nguvu ununue gari nzuri bwana 0kms ndo mpango mzima hapa mjini UK ,Gmn na Us ndo gari za maana x-train gari mbovu.

Mi si nimeolewa na Toyota Yagasaki.........mara chache huwa nachepuka lakini........maharage kila siku yanachosha.........mara zingine huwa natupia vinyango vya Subaru......Amarok......na Puma........

Cc. MANI..... Kaizer.......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…