Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Ooh okay kwa hiyo unamaanisha total tax ikiwa pamoja na uchakavu au hiyo 5541165 bado haijajumlishwa hiyo dola 1167.75 kiongozi...?.
Total ni pamoja na uchakavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh okay kwa hiyo unamaanisha total tax ikiwa pamoja na uchakavu au hiyo 5541165 bado haijajumlishwa hiyo dola 1167.75 kiongozi...?.
total taxes 5.5 ml,shipping line 160000,port charges 350000,agent fee 295000,registration plus road licence 380000,plate number 40000 kokotoa mwenyewe jumla kuu
| Reference Number | 1415412147 | |
| Make: | NISSAN | |
| Model: | X-TRAIL | |
| Body Type: | SUV | |
| Year of Manufacture: | 2002 | |
| Fuel Type: | PETROL | |
| Engine Capacity: | 1001 - 2000 CC | |
| Customs Value CIF (USD): | 3114.00 | |
| Import Duty (USD): | 778.50 | |
| Excise Duty (USD): | 194.63 | |
| Excise Duty due to Age (USD): | 1167.75 | |
| VAT (USD): | 945.88 | |
| Total Taxes (USD): | 3087 | |
| Total Taxes (TSHS): | 5541165 | |
| Mkuu unaongeza na usajili 150,000 Ada ya mwaka(motor vehicle 230,000 Kulingana na calculator ya TRA Bandalini unaweza kuulizia wahusika Kiongozi |
Hiyo calculator ya TRA ni ngumu.........mi hata siielewi........
nakuomba utukokotolee hii halafu utuwekee hapa Ili tuelewe vizuri.........
Bado kuna watu wananunua hizi gari?
Umepata wapi pesa za kununua gari?
Reference Number 1415412147 Make: NISSAN Model: X-TRAIL Body Type: SUV Year of Manufacture: 2002 Fuel Type: PETROL Engine Capacity: 1001 - 2000 CC Customs Value CIF (USD): 3114.00 Import Duty (USD): 778.50 Excise Duty (USD): 194.63 Excise Duty due to Age (USD): 1167.75 VAT (USD): 945.88 Total Taxes (USD): 3087 Total Taxes (TSHS): 5541165 Mkuu unaongeza na usajili 150,000
Ada ya mwaka(motor vehicle 230,000
Kulingana na calculator ya TRA Bandalini
unaweza kuulizia wahusika Kiongozi
Hapo ndipo TRA wanawachanganya waagizaji na huenda ikapelekea kutoeleawana katika pande husika.
Reference Number 1415412147 Make: NISSAN Model: X-TRAIL Body Type: SUV Year of Manufacture: 2002 Fuel Type: PETROL Engine Capacity: 1001 - 2000 CC Customs Value CIF (USD):
3114.00
Import Duty (USD): 778.50 Excise Duty (USD): 194.63
Excise Duty due to Age (USD): 1167.75 VAT (USD): 945.88 Total Taxes (USD): 3087 Total Taxes (TSHS): 5541165 Mkuu unaongeza na usajili 150,000
Ada ya mwaka(motor vehicle 230,000
Kulingana na calculator ya TRA Bandalini
unaweza kuulizia wahusika Kiongozi
Gari ya bei ndogo sana hata gharama zake hupaswi kuuluzia labda gari za UK,Gmn, Us ningeweza kukusaidia
Bado kuna watu wananunua hizi gari?
ukishamaliza huko ujee kwenye spea ulimwee chezea X trail wewe .........spea juu alafu vimeoooThanks kiongozi kwa msaada wako kwa hesabu hii iliyopo hapa custom value umepata ni ngapi mkuu...?.
umewapenda kwa kipi labda, fafanua!!nyie nimewapenda..........
Ndo maana niliuliza kama bado watu wananunua hizo ndoa za kikatoliki Preta hakunielewaukishamaliza huko ujee kwenye spea ulimwee chezea X trail wewe .........spea juu alafu vimeooo
Preta kama unapenda x_trail uko na cyo yakuuza labda uazimishwe utumie hadi cku ukipata nguvu ununue gari nzuri bwana 0kms ndo mpango mzima hapa mjini UK ,Gmn na Us ndo gari za maana x-train gari mbovu.
umewapenda kwa kipi labda, fafanua!!