Yaani zinapatikana kwa watu au ni sehemu wanaziuza?
Natumia sana BP na ENGEN
Wana show rooms za magari ya kale lakini pia kwa watu binafsi, na kwa urahisi wa kudrive nunulia Pretoria ukitoka hapo unachapa mwendo mpaka Zimbabwe unaingia Msumbiji au Zambi then Bongo
Sina hakika na hilo lakini nafikiri inawezekana jaribu kuingia kwenye web yao
Aisee najifunza vitu vingi sana hapa, nashukuru kwa kuendelea kutupa somo.
Naomba kujua kama plugs za gari zinapandisha oil ni nini kinatakiwa kifanyike?
Sina ujuzi sana kwenye hili lakini nafikiri kuna kitu kinaitwa sleeves, au Cylinder head gasket imechoka, mwenye ujuzi zaidi anaweza kuja tafadhali
Aisee najifunza vitu vingi sana hapa, nashukuru kwa kuendelea kutupa somo.
Naomba kujua kama plugs za gari zinapandisha oil ni nini kinatakiwa kifanyike?
Yeah hizo zimechoka ni za kubadilisha lakini pia acheki na sleevs kwenyw cylinder kama ziko okay
Naomba Masaada wa jinsi ya kusoma Tyre za GARI manufacturing date.