Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Yaani zinapatikana kwa watu au ni sehemu wanaziuza?

Wana show rooms za magari ya kale lakini pia kwa watu binafsi, na kwa urahisi wa kudrive nunulia Pretoria ukitoka hapo unachapa mwendo mpaka Zimbabwe unaingia Msumbiji au Zambi then Bongo
 
Rafiki yangu anapenda gari aina ya Toyota VOLTZ, anataka kujua kuhusu uimara, upatikanaji wa spare parts, etc
Mwenye access na aina hii ya gari msaada tafadhali.
 
Rafiki yangu anapenda gari aina ya Toyota VOLTZ, anataka kujua kuhusu uimara, upatikanaji wa spare parts, etc
Mwenye access na aina hii ya gari msaada tafadhali.

Hili naona lilishajibiwa hapa kwamba ni gari imara kwa mashine lakini body ni laini mno, nafikiri alikuwa ni N'yadikwa au Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Mkuu is Bp still existing in Tanzania as fuel station? I guess you mean Puma which now runs all bp stations in tz

Yeah lakini BP ni Brand nafikiri bado wana bidhaa zao nyingine madukani
 
Aisee najifunza vitu vingi sana hapa, nashukuru kwa kuendelea kutupa somo.
Naomba kujua kama plugs za gari zinapandisha oil ni nini kinatakiwa kifanyike?
 
Aisee najifunza vitu vingi sana hapa, nashukuru kwa kuendelea kutupa somo.
Naomba kujua kama plugs za gari zinapandisha oil ni nini kinatakiwa kifanyike?

Sina ujuzi sana kwenye hili lakini nafikiri kuna kitu kinaitwa sleeves, au Cylinder head gasket imechoka, mwenye ujuzi zaidi anaweza kuja tafadhali
 
Sina ujuzi sana kwenye hili lakini nafikiri kuna kitu kinaitwa sleeves, au Cylinder head gasket imechoka, mwenye ujuzi zaidi anaweza kuja tafadhali

Yeah hizo zimechoka ni za kubadilisha lakini pia acheki na sleevs kwenyw cylinder kama ziko okay
 
Aisee najifunza vitu vingi sana hapa, nashukuru kwa kuendelea kutupa somo.
Naomba kujua kama plugs za gari zinapandisha oil ni nini kinatakiwa kifanyike?

Kutanuka kwa sleeve / cylinder,
kwisha kwa piston / oil rings husababisha oil 'kupanda'... na kulowesha plugs.

Cha kufanya kubadilisha kilichokwisha.
 
Naomba Masaada wa jinsi ya kusoma Tyre za GARI manufacturing date.

Unaweza kuangalia namba flan zinaandikwa pembeni kwenye tairi, mfano 3012, namba mbili za mwanzo zinawakilisha wiki ambazo tairi lilitengenezwa na namba za mwisho ni mwaka ambao tairi lilitengenezwa, kwa mfano huo hapo juu inakuwa tairi hilo lilitengenezwa wiki ya 30 ya mwaka 2012
 
Back
Top Bottom