Asante ndg itagata uzoefu Tyre impalas muda gani kabla ya expire date,?
Habari mshana jr,bado sijapata fundi wa kunibadrishia freelander kwenda rav4,wale vijana ulionielekeza wa toyota hawawezi mzee
Mkuu Mshana Jr. katika moja ya coment yako hapo juu kuhusiana na TOYOTA VOLTS Umesema kwamba injini ni imara ila bodi ni laini mno. je unashauri nini kwa Mtu anayehitaji kuagiza gari kama hilo? mimi binafsi nimeliagiza na naona bongo yanaingia kama njugu.
Pia acheki piston ring nazo huchangia na inafanya gari inakuwa inatoa moshi na inakula oil ukipima inakuwa inapungua kila siku.
Haina shida ni kuwa makini tu na matumizi, epuka kuoverload mizigo na abiria, rough ziepuke au nenda mwendo wa kinyonga, epuka madereva wengi
Mkuu samahani hivi hizi l/rover discovery 3 se unazionaje mkuu especially upande wa performance off road ingawa najua running expenses zake ni kubwa.Mungu akijalia mwezi wa 10 ntaiagiza UK.Thnxs
Naomba kujuzwa kuhusu hii kodi ya road licence inakuwaje iwapo gari halipo barabarani kwa sababu ya ubovu zaidi ya mwaka mmoja. Je tra wataendelea kuestimate hiyo kodi yao japokuwa gari haipo road.?!
Naomba kujuzwa kuhusu hii kodi ya road licence inakuwaje iwapo gari halipo barabarani kwa sababu ya ubovu zaidi ya mwaka mmoja. Je tra wataendelea kuestimate hiyo kodi yao japokuwa gari haipo road.?!
Toa taarifa TRA kwa maandishi. Utapata maelekezo. Kuna uwezekano wa kusimamishiwa hadi litakapokuwa barabarani ukikidhi vigezo na masharti.
Toa taarifa TRA kwa maandishi. Utapata maelekezo. Kuna uwezekano wa kusimamishiwa hadi litakapokuwa barabarani ukikidhi vigezo na masharti.
Vizuri sana mkuu. Na je vp kuhusu insurance nayo inakuwaje. Nayo kuna sehemu ya kwenda kutoa taarifa ili isimamishwe kwa kipindi hiko.?!
Vizuri sana mkuu. Na je vp kuhusu insurance nayo inakuwaje. Nayo kuna sehemu ya kwenda kutoa taarifa ili isimamishwe kwa kipindi hiko.?!
Bima haiuhusiani na serikali bima ni kwa ajili ya ulinzi wako binafsi, gari yako na wengine watakaopata matatizo kupitia gari yako hivyo hiyo haina kutoa taarifa
Insurance kama ipo hai itaendelea 'kuku kava' hadi itakavyoisha.
Kuna uwezekano wa kupatwa na ajali ya moto ikiwa imepaki, kugongwa ikiwa imepaki especially parking zetu hizi za mitaani...
So, At ur own risk unaweza usikate tena bima hasa kwa vile hautotiwa nguvuni kwa kutokuwa nayo kwani gari itakuwa haipo barabarani.
Insurance hata hivyo ni muhimu, jikatie hata wewe mwenyewe. Fika ofisi za bima.
Hii ina mushkeli kidogo na ndio mtego wa TRA ulipo kwamba unaandika barua ya kusimamishiwa RL kwa mfano miaka miwili kwa sababu ya ubovu Fulani, wanakuambua hiyo umedhamiria na wengi wanaweza kufanya hivyo
Kwa utashi wangu,hapa bongo sekta ambayo naona ipo/inaendeshwa kimaghumashi ni bima. Yaani hawa jamaa wanajua kupokea michango,ila sasa ukipatwa na tatizo ambalo inabidi bima ikave watakuzungusha mpk utaipata flesh. Yaani nenda rudi nenda rudi hadi ukome,labda uwape kitu kidogo ndio wakulipe pasipo usumbufu,vingimevyo itakula kwako.