Mshana hutu tugari vipi kwenye ubora, naviona old model vingi vya zamani viko njiani tu vikina Samurai, vitara & escudo naona kamekaa vzr
Wadau wa hii mada ya magari naombeni ushauri,,, nahitaj kununua gari spacio new model au ist,,, naombeni ushauri ipi iko comfortable, ngumu,na mengine nisiyo yajua kuhusu gari hizi mbili tu, pls kwa mwenye utaalam naomba anieleze
Nunua Spacio, ipo safi sana
Spacio ukiiangalia kwa mbali inafanana na parachichi.........nunua IST............
kwa muonekano tu nakushauri ununue Spacio imekaa vizur zaidi ya IST. Na pia fuel consuption ni ya kawaida sana.Wadau wa hii mada ya magari naombeni ushauri,,, nahitaj kununua gari spacio new model au ist,,, naombeni ushauri ipi iko comfortable, ngumu,na mengine nisiyo yajua kuhusu gari hizi mbili tu, pls kwa mwenye utaalam naomba anieleze
Wanajamvi naomba kujua jinsi ya kunigotiate bei wakati wa kununua gari mtandaoni..eg beforward...yaan unafanyanyaje hadi wakupunguzie bei...iliyoko kwenye tangazo....tafadhalini...
Jaman wapendwa mi nataka kununua nissan Note,mwenye kujua hizi gari vizur naomba msaada!
Spacio ukiiangalia kwa mbali inafanana na parachichi.........nunua IST............
Mtanzania2015 nunua spacio new model hizi gari engine ni moja lakini spacio inadumu body yake ni durable kwenye fuel consumption zipo karibu sawa.Spacio ukiiangalia kwa mbali inafanana na parachichi.........nunua IST............
Asanteni sana wadau, ila cjapata mawazo ya kitaalam, mf.service, engine power nk, pia nimejarib kufanya price research naona hazijatofautina zaidi ya lak 5
Chukua nukta(ist)...
Muundo poa, durable, economic (fuel consumption) ukilinganisha na spacio...
Nunua Spacio, ipo safi sana
nunua raum
Spacio ukiiangalia kwa mbali inafanana na parachichi.........nunua IST............
Nunua Toyota IST, muonekano wake upo vizuri, mafuta matumizi yake yapo pouwa, ukiwa unaiendesha yani unakuwa upo comfotable, barabaran ipo vizuri pia, na kwa safari utaenjoy pia.
Hahahaah,,,,,watu mna maneno, na hiyo ist ipo kama chungwa.
Mtanzania2015 nunua spacio new model hizi gari engine ni moja lakini spacio inadumu body yake ni durable kwenye fuel consumption zipo karibu sawa.
Nunua spacio :lol::lol:
Mpaka hapa jamaa sijui kapata msaada gani.Mkuu chukua spacio new model hutajuta.
Hahahaah,,,,,watu mna maneno, na hiyo ist ipo kama chungwa.
Mpaka hapa jamaa sijui kapata msaada gani.
Ningekuwa mimi ningeyapiga chini ninunue Toyota Stout