Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mshana hutu tugari vipi kwenye ubora, naviona old model vingi vya zamani viko njiani tu vikina Samurai, vitara & escudo naona kamekaa vzr

Samurai ndio mwisho wa matatizo pale mjep alipata hasara, vile vigari roho ngumu kuzidi ya paka halafu mafuta yake hata kijiko kimoja kinaenda, Suzuki Escudo na Vitara ndio zinafuatia, kwasasa naona Cami ndio anatamba
 
Wadau wa hii mada ya magari naombeni ushauri,,, nahitaj kununua gari spacio new model au ist,,, naombeni ushauri ipi iko comfortable, ngumu,na mengine nisiyo yajua kuhusu gari hizi mbili tu, pls kwa mwenye utaalam naomba anieleze

Nunua Spacio, ipo safi sana
 
Nunua Toyota IST, muonekano wake upo vizuri, mafuta matumizi yake yapo pouwa, ukiwa unaiendesha yani unakuwa upo comfotable, barabaran ipo vizuri pia, na kwa safari utaenjoy pia.
 
kwa muonekano tu nakushauri ununue Spacio imekaa vizur zaidi ya IST. Na pia fuel consuption ni ya kawaida sana.

Mghosi
 
Jaman wapendwa mi nataka kununua nissan Note,mwenye kujua hizi gari vizur naomba msaada!
 
Wanajamvi naomba kujua jinsi ya kunigotiate bei wakati wa kununua gari mtandaoni..eg beforward...yaan unafanyanyaje hadi wakupunguzie bei...iliyoko kwenye tangazo....tafadhalini...

Ukishaiona gari na kuipenda, jaza zile details zao kuwa unaitaka gari fulani, mazungumzo yatagmhamia kwenye emails, na hapo ndio unaweza anza negotiate nao.
 
Spacio ukiiangalia kwa mbali inafanana na parachichi.........nunua IST............

Unaiongelea ile old model kidogo inayofanana na Mpira wa Rugby. Ya sasa ipo abit improved. Halafu ina space ndani na ina nguvu, unaweza kusafiri nayo umbali mrefu comfortably. Ila IST ipo special kwa town trips na ina space ndogo.
 
Asanteni sana wadau, ila cjapata mawazo ya kitaalam, mf.service, engine power nk, pia nimejarib kufanya price research naona hazijatofautina zaidi ya lak 5

Mkuu chukua spacio new model hutajuta.
 
Chukua nukta(ist)...
Muundo poa, durable, economic (fuel consumption) ukilinganisha na spacio...

Nunua Spacio, ipo safi sana

nunua raum

Spacio ukiiangalia kwa mbali inafanana na parachichi.........nunua IST............

Nunua Toyota IST, muonekano wake upo vizuri, mafuta matumizi yake yapo pouwa, ukiwa unaiendesha yani unakuwa upo comfotable, barabaran ipo vizuri pia, na kwa safari utaenjoy pia.

Hahahaah,,,,,watu mna maneno, na hiyo ist ipo kama chungwa.

Mtanzania2015 nunua spacio new model hizi gari engine ni moja lakini spacio inadumu body yake ni durable kwenye fuel consumption zipo karibu sawa.

Nunua spacio :lol::lol:

Mkuu chukua spacio new model hutajuta.
Mpaka hapa jamaa sijui kapata msaada gani.

Ningekuwa mimi ningeyapiga chini ninunue Toyota Stout
 
Spacio ni nzuri, very spacious kama jina lenyewe. Matumizi mazuri ya fuel. Niliwahi kua nayo ile ya round. Niliiuza wakati bado naipenda. Nilikaa nayo 6 yrs nikaona inatosha. Haikuwahi kunisumbua hata na
mara moja. ina nguvu pia. IST sina utaalam nayo lakini ni kadogp mno.
Kwa vile nahisi ndio mara yako ya kwanza unataka ku own gari, nakushauri go for spacio, careful tu isiwe na D4 engine maana hizi mpya nyingi engine yake ni D4. D4 engine ni vimeo.
 
Back
Top Bottom