Ukishaiona gari na kuipenda, jaza zile details zao kuwa unaitaka gari fulani, mazungumzo yatagmhamia kwenye emails, na hapo ndio unaweza anza negotiate nao.
Wadau wa hii mada ya magari naombeni ushauri,,, nahitaj kununua gari spacio new model au ist,,, naombeni ushauri ipi iko comfortable, ngumu,na mengine nisiyo yajua kuhusu gari hizi mbili tu, pls kwa mwenye utaalam naomba anieleze
Why mnapenda kununua magari uniform? Ist ni kama watoto wametoka shule humu mjini, kila gari 10,5-6 ni ist. Pamoja na gari kuwa ni kwa kusafiria ni chanzo cha fame pia, chek uncommon brand kama Volvo, volkswagen, Golf
Ingekua Australia karibu kuna brand kama commodore, great wall, ford, falcon very nice brands.
Anyway kila la kheri mkuu
Mkuu umesema Vovo na vokswagen.........mweee mweee........wacha tu tuendeshe spacio.......asante lakini.......
All in all, engine ya 2L-TE haina nguvu kwa kweli. Nilinunua prado yenye engine hiyo, nikipakia watu saba na kuwasha AC, hata Scania lorry inanipita. Nikavua kule na kuweka 1KZ. Si engine ya kwenda 120 km/h ukiwa na abiria.
Hii kitu bei gani kama hutajali kuniambia hapahapa au pm
Mkuu umesema Vovo na vokswagen.........mweee mweee........wacha tu tuendeshe spacio.......asante lakini.......
Mkuu umesema Vovo na vokswagen.........mweee mweee........wacha tu tuendeshe spacio.......asante lakini.......
Ha ha haa we nawe nilikosea spelling bwana khaa! Yani maneno yoote umeona hilo tu?
Kwani zina shida gani hizo sister,?
Funguka basi "tujinome"
ha ha ha haah,,,,,hivi haya ma stout bado yapo???Mpaka hapa jamaa sijui kapata msaada gani.
Ningekuwa mimi ningeyapiga chini ninunue Toyota Stout
nisaidieni nina gari yangu aina ya suzuki aerio kwenye dip stick ya transmission imeandikwa nitumie ATF3317 or equivalent oil ntakujuaje hiyo equivalent oil maana ATF3317 uku haipatikani msaada jamani maana kila oil ninayotumia inasumbua kubadili gear