Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mshama Jr thanks for the platform. Tafadhali hii Nissan Patrol Y62 ikoje? Naambiwa ni Petrol kwahiyo ni kimeo. Plz toa ushauri
 
Wadau wa hii mada ya magari naombeni ushauri,,, nahitaj kununua gari spacio new model au ist,,, naombeni ushauri ipi iko comfortable, ngumu,na mengine nisiyo yajua kuhusu gari hizi mbili tu, pls kwa mwenye utaalam naomba anieleze

Why mnapenda kununua magari uniform? Ist ni kama watoto wametoka shule humu mjini, kila gari 10,5-6 ni ist. Pamoja na gari kuwa ni kwa kusafiria ni chanzo cha fame pia, chek uncommon brand kama Volvo, volkswagen, Golf

Ingekua Australia karibu kuna brand kama commodore, great wall, ford, falcon very nice brands.

Anyway kila la kheri mkuu
 
Mkuu umesema Vovo na vokswagen.........mweee mweee........wacha tu tuendeshe spacio.......asante lakini.......
 
All in all, engine ya 2L-TE haina nguvu kwa kweli. Nilinunua prado yenye engine hiyo, nikipakia watu saba na kuwasha AC, hata Scania lorry inanipita. Nikavua kule na kuweka 1KZ. Si engine ya kwenda 120 km/h ukiwa na abiria.

Compare like to the likes mkuu, 2L TE , ni 2400 cc, 1KZ ni 3000, halafu 2L TE ni old tech
Nakubaliana nawe 1kz Te Ina nguvu na mbio za kutosha na ni imara sana , lakini utakubaliana namni kuwa ni moja ya engine heavy Sana linapokuja kwenye fuel consumption, hasa Kama itatumika katika mazingira ya kukimbia , ukiangalia utagundua kuwa ni moja ya engine za Toyota ambazo hazikukaa kwenye cycle kwa muda mrefu.

Kwa sasa kuna 1KD TE, common rail diesel, with variable geometry turbocharger , Ina nguvu , Ina mbio, na economy kushinda 1kz ,
Alamsiki!!!
 
Mkuu umesema Vovo na vokswagen.........mweee mweee........wacha tu tuendeshe spacio.......asante lakini.......

Volvo ni kampuni ya Kiswidish na neno volvo ni kifupi cha Volvokoncernen ilianza mwaka 1927

volkswagen (VW) ni kampuni ya magari ujerumani (1937) na vw ilidizainiwa ili kila mtu awe na gari miaka hiyo ndio mana ikaitwa Voks=watu, wagen (gari), sasa mkuu unadhani volvo ni sawa na volkswagen?
 
Mm nataka kununua T/hice nijiingize katika biashara ya daladala ...ya uhakika ni petrol au diesel na engine ya aina gani?
 
Kwa wale wanaotaka kuagizia gari nje please tembelea Autocom Japan, Tanzania office zipo Quality center nyerere road. Wako na gari affordable na well maintained for more details call 0767328063 (whatssap)
Skype : Msuya Jr
 
Ya kwanza ni ist new model na inayofuata ni spacio toleo jipya na la mwisho...wataalam wa vitu vizuri jaribu ku compare in terms of apearance and stability
 
Attachments

  • 1429680807945.jpg
    1429680807945.jpg
    20.8 KB · Views: 301
  • 1429680845888.jpg
    1429680845888.jpg
    14.7 KB · Views: 309
Mshama Jr thanks for the platform. Tafadhali hii Nissan Patrol Y62 ikoje? Naambiwa ni Petrol kwahiyo ni kimeo. Plz toa ushauri

Sikweli ndugu, huo ukimeo wake unatokana na nini? Kiasili Nissan karibia zote ziko njema sana
 
nisaidieni nina gari yangu aina ya suzuki aerio kwenye dip stick ya transmission imeandikwa nitumie ATF3317 or equivalent oil ntakujuaje hiyo equivalent oil maana ATF3317 uku haipatikani msaada jamani maana kila oil ninayotumia inasumbua kubadili gear
 
Mmh hebu jaribu kuingia mtandaoni tu rafiki, lakini pia hebu pita kwenye vituo kama Engen na Puma wanakuwa na wataalam
 
Back
Top Bottom