Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali


Hii thread ni ya watu makini na pia tunatumia busara kwenye kuelimishana na hata kukosoana bila jazba ...nafikiri mzaha, kejeli , matusi na upuuzi puuzi mwingine wa kitoto si mahala pake...kuna thread ambazo zinaweza accommodate those things ni bora kabisa mlio na hizo hobbies mkasogea huko...samahani kama nimewakwaza ila mjaribu kufuatilia thread hii yote watu wako serious kwenye kuelimishana na hata kushaurina.
 

Kaka hata mie nasikitika kabisa ...dah... hii thread isije punguza trust kwa watu na wengi wamenufaika na kuepuka hasara zinazozuilika kwa kutumia uzi huu
 

Gari ni nzuri problem ni spare tuuu, ziko bei Juu kiasi.
 
Nipe muda lubajaro nije na majibu ya uhakika lakini la haraka ni kwakuwa ni NISSAN

Mkuu vipi kuhusu gari za NISSAN body type- sedan ? Mfano primera, skyline etc zina uzuri au ubovu gani? Kwanini hazipendelewi hapa kwetu?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja takujulisha inakuwa kila weekend

Hizi gari za mnada bandarini huwa zinatoka wapi na kwa nini zinauzwa hapo bandarini?
Je kuna uafadhali wowote wa bei na ubora wa gari ukilinganisha na kuagiza nje moja kwa moja?
Je hamna ujanja ujanja wa kuingizwa mjini?
 

Wengi tumeelimika kupitia huu uzi. Nadhani ujumbe umewafikia.
 



Aisee nitake radhi kwa kudandia treni kwa mbele,tena acha kiherehere, mimi uzi nimechangia jana, ukiwa umeanzishwa na innocen na sio mshana jr, zaidi ni kwamba huu uzi umeunganishwa tu, na hujui kwanini watu walicomment hivyo, acha kiherehere siku nyingine. fuatilia kwanza jambo.

Narudia acha kihehere, no reseach no right to speak
 
Last edited by a moderator:

Duuh kazi kwelikweli, kwani ukitumia lugha ya staha usingeeleweka ndugu!!
 
Last edited by a moderator:
Duuh kazi kwelikweli, kwani ukitumia lugha ya staha usingeeleweka ndugu!!


Niandikie hiyo lugha ya staha nii copy basi.

Kitu ambacho hana uhakika nacho asiquote kwa mbwembwe as if sie tuliomjibu innocen ni wajinga over.
 
Last edited by a moderator:
Nimecheki website yenu naona mna bei nzuri. Mpiga picha awe makini zaidi picha zingine ni out of focus.
 
Hivi bongo ni barabara gani mtu anaweza kutumia cruise control?

Mkuu hiyo unaitumia tu sehem nyingi mfano ukienda Mwanza - Musoma unatumia Cc tu vizuri.

Afu swali lako limekaa kidharau dharau vile bongo ndo kwetu despite tumepewa wapi makazi
 
Wakuu, is there any link between a car's engine capacity and the distance it can be driven before being rested (switched off)? Kindly advice.
 
Wakuu, is there any link between a car's engine capacity and the distance it can be driven before being rested (switched off)? Kindly advice.

Check kwenye thread za nyuma lilishajadiliwa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…