CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 733
- 458
Nawaombeni samahani sana nyie nyote mlio comment utani ktk huu uzi,,,,someni toka mwanzo mpk hapo mlipo anzia naiman hamtakuta tabia kama zenu..huu uzi mshana jr kauanzisha ili kusaidia wenye kuhitaji msaada seriously..hayo mambo yenu yanapatika kule chitchat...samahan kama nitakua nimewakwaza
Hii thread ni ya watu makini na pia tunatumia busara kwenye kuelimishana na hata kukosoana bila jazba ...nafikiri mzaha, kejeli , matusi na upuuzi puuzi mwingine wa kitoto si mahala pake...kuna thread ambazo zinaweza accommodate those things ni bora kabisa mlio na hizo hobbies mkasogea huko...samahani kama nimewakwaza ila mjaribu kufuatilia thread hii yote watu wako serious kwenye kuelimishana na hata kushaurina.