Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari yako).

Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote. Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (2603) kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba nne.

Namba mbili za kwanza zinaonyesha tairi lilitengenezwa wiki ya ngapi katika wiki 52 za mwaka na namba mbili za mwisho zinaonyesha mwaka tairi lilipo tengenezwa. Kwa mfano 2603 inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 2003 au 2699 inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 1999.

KAGUA MATAIRI YAKO USITUMIE TAIRI LILILO PITA ZAIDI YA MIAKA MINNE KWANI LINAWEZA PASUKA WAKATI WOWOTE.
 
Mkuu toa ufsfanuzi kwa manufaa ya wengi hii kitu inachanganya wengi sana kwani nnapo press O/D kwa maana ya kwamba in a display o/d off kwenye dushboard ndo apo speed inabadilika ikiashilia extra power sasa mini ukwel kuhusu display ya o/d off ufafanuz tafadhal tusije haribu Magari ambayo yanatugarimu matengenezo

Kwa uzoefu wangu ni kwamba taa ya O/D ikiwaka kwenye dashboard hapo ni kwamba iko off na mara nyingi watu wengi huiacha on muda wote kwa maana ya kwamba haiwaki kwenye dashboard

Vile vile Extra power inatumika kwenye tifutifu ma mwinuko tuu huwezi kutumia kwenye tambarare ambapo speed ni 30+ kwakuwa gari inakuwa nzito sana na mafuta yanayokwenda ni mengi sana
 
Landcruiser tx ni prado,nyingi ni cc 2700,ingawa kuna cc 3400 ,zote ni petrol,kuna zenye engine ya diesel ya kz pia,!landcruiser vx ni baba lao,cc 4700 petrol engine na 4200 diesel engine,chaguo ni lako

Shukrani mkuu....nashukuru kwa kunifafanulia
 
Mkuu toa ufsfanuzi kwa manufaa ya wengi hii kitu inachanganya wengi sana kwani nnapo press O/D kwa maana ya kwamba in a display o/d off kwenye dushboard ndo apo speed inabadilika ikiashilia extra power sasa mini ukwel kuhusu display ya o/d off ufafanuz tafadhal tusije haribu Magari ambayo yanatugarimu matengenezo

When the OD is switched on (please note that when the OD is ON you don‘t see anything about the OD on the dashboard), an automatic transmission (gear) vehicle can ”automatically” shift into Over-Drive mode after a certain speed is reached (say 70 km/h-plus [or 43 mph-plus] depending on the load it‘s carrying).
 
Habari wadau!
Natafuta gari ifuatayo;
Land Cruiser VX yenye injini ya 1hdt turbo.
Naomba mnisaidie kuipata,au mwenye nayo ani-pm tafadhali!
 
Hapana mimi sio fundi, runx si ndio kizazi cha ist, Allex, duet nk? Ni gari ambazo hazitaki shida wala mikikimikiki, kwa ushauri nunua gari yeyote kizazi cha corolla100, 110 au hata GX 100 kavu! GX vvti itakutesa

Gari matunzo,kama unataka GARI imara kanunue Land cruiser 1hz,usahau shida. Spea za runx/Alex zinaingiliana na ist/vitz/ist/funargo tofauti ni taa,vioo,sitemirror na dashboard. Hivyo nakushauri kanunue tu.
 
HAKI ZA DEREVA ANAPOKAMATWA NA TRAFFIC
- Trafiki hana idhini ya kukulazimisha kumkabidhi leseni yako
-Akikukuta na kosa na kukuandikia notification na ukalipa ni lazima akupe risiti ya serikali
-Hana haki ya kukuulizia kuhusu road licence hiyo ni kazi ya TRA kwakuwa siku utakapoenda kulipa utalipia na faini
-kama huna leseni una haki kisheria kuipeleka kituoni ndani ya Massa 72 ya kazi tangu ulipotakiwa kufanya hivyo
-Akikusimamisha una haki ya kusimama sehemu ile ambayo utaona ni salama na si lazima usimame anapotaka yeye
- Sio kila kosa ni la kuadhibiwa, mengine ya kuonywa au kuelimishwa

Sasa hapa mkuu wangu mshana jr haya mawili ya road license na masaa 72 kupeleka leseni ndo umenimix kabisa. La kwanza, Polisi si ana wajibu wa kuhakikisha gari linatembea barabarani kisheria?

Lisipokuwa na road license au bima maana yake halina uhalali wa kutembea barabarani? Aidha, road license ndo kila siku tunaona polisi wanazikagua sasa sijui unatuambiaje, je wanakosea? La pili, ukiwa huna leseni huruhusiwi kuendesha gari.

Hata polisi akikumata huna leseni atakuambia lipa faini na kuanzia alipokukamatia huruhusiwi kuendesha gari, lazima mtu mwingine aendeshe. Sasa hii ya masaa 72 imekaaje?
 
Last edited by a moderator:
Gari matunzo,kama unataka GARI imara kanunue Land cruiser 1hz,usahau shida. Spea za runx/Alex zinaingiliana na ist/vitz/ist/funargo tofauti ni taa,vioo,sitemirror na dashboard. Hivyo nakushauri kanunue tu.

Mkuu si "site mirror" bali ni "side mirror"
 
  • Ndugu mshana jr nataka tukujua kama una gari/uliwahi kumiliki gari!
  • Nataka pia kufahamu tabia zako mtaani kwenu pindi uliponunua gari (Ruka swali hili kama hujawahi kumiliki)
  • Ni kwanini vijana wakiume(ke) waliozaliwa tukiwa kwenye mfumo wa vyama vingi wanawaza tu kumiliki magari wamalizapo shahada/diploma ama kupata ajira ya kwanza?
  • Ni kwanini jamii inadhani mtu anayemiliki gari(of which hata 5 K unanunua) ana maisha bora bila kimjini mjini ukiwa na 20 K huwezi kujenga labda uwe umepewa uwanja wa kujengea na baba/babu?
 
Last edited by a moderator:
Na nyongeza nyingine hii hapa, kwa wale mnaoona kwa nini hizi fine za papo kwa hapo, au ni za uonevu..?

Utaniwia samahani kama haionekane vyema.
1424676118344.jpg
1424676135814.jpg
 
  • Ndugu mshana jr nataka tukujua kama una gari/uliwahi kumiliki gari!
  • Nataka pia kufahamu tabia zako mtaani kwenu pindi uliponunua gari (Ruka swali hili kama hujawahi kumiliki)
  • Ni kwanini vijana wakiume(ke) waliozaliwa tukiwa kwenye mfumo wa vyama vingi wanawaza tu kumiliki magari wamalizapo shahada/diploma ama kupata ajira ya kwanza?
  • Ni kwanini jamii inadhani mtu anayemiliki gari(of which hata 5 K unanunua) ana maisha bora bila kimjini mjini ukiwa na 20 K huwezi kujenga labda uwe umepewa uwanja wa kujengea na baba/babu?

Nikimjibia Mshana Jr. swali la pili ni.kwa sababu gari siyo anasa kama ilivyokuwa inadhaniwa kwa miaka mingi. Ni njia tu mojawapo ya kukutoa sehemu A kwenda sehemu B. Na kwa kuwa usafiri wa Umma siyo rafiki basi ndo inamaliza shida za adha ya usafiri mijini
 
Last edited by a moderator:
Nimeifurahia maada hii
Pia ipo toyota raumu bdo haijabadilishwa hata plate ##
Bei ni 10m ambaye anahtaji anipm
 
Nimeifurahia maada hii
Pia ipo toyota raum bdo haijabadilishwa hata plate ##
Bei ni 10m ambaye anahtaji anipm
 
Sasa hapa mkuu wangu mshana jr haya mawili ya road license na masaa 72 kupeleka leseni ndo umenimix kabisa. La kwanza, Polisi si ana wajibu wa kuhakikisha gari linatembea barabarani kisheria? Lisipokuwa na road license au bima maana yake halina uhalali wa kutembea barabarani? Aidha, road license ndo kila siku tunaona polisi wanazikagua sasa sijui unatuambiaje, je wanakosea? La pili, ukiwa huna leseni huruhusiwi kuendesha gari. Hata polisi akikumata huna leseni atakuambia lipa faini na kuanzia alipokukamatia huruhusiwi kuendesha gari, lazima mtu mwingine aendeshe. Sasa hii ya masaa 72 imekaaje?

Kwanza polisi hana haki kabisa ya kukagua road licence hiyo ni kazi ya TRA halafu ishu ya kupewa masaa 72 ukalete leseni yako haina maana kuwa uendelee kuendesha ni kupaki gari sehemu salama utakapoelekezwa na traffic police Mara nyingi ni kituo cha polisi

ZIADA: si kila Police ana haki ya kukagua gari lako ni lazima awe na cheo cha polisi mkaguzi magari/ Vehicle inspector
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom