Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana, lita 1km 4.
Zipo za 2490cc na 2990cc. Most of them I guess ni D4 engine. I bet spear parts zange ni aghali though sina hakika.
Kingine vipi kuhusu confortability kati ya X na Fuga.
Wakuu nina gari aina ya Toyota IST imeanza kusumbua AC, nimeshaliwa pesa sana mara tubadilishe compressor, mara kuna mrija umepasuka gesi inavuja, mara hili na lile . Wakitengeneza haimalizi wiki mbili tatizo linarudi palepale. Nahisi sijapata fundi anayejua tatizo na wengi wanabahatisha. Naombeni mwenye kujua fundi TIMAMU wa AC alielekeze.
Note:Huyo fundi lazima anipe guarantee ya maandishi maana nimeshaliwa sana .
Aksante.

Sometimes dereva mzuri ni yule anayeepusha ajali na si yule anayefuata sheria
Kuna jamaa ni mtaalamu sana almaarufu MAKOFIA yupo mtaa wa Lindi na Shaurimoyo waweza mcheki kwa utatuzi wa Ac yako,sina namba yake.Wakuu nina gari aina ya Toyota IST imeanza kusumbua AC, nimeshaliwa pesa sana mara tubadilishe compressor, mara kuna mrija umepasuka gesi inavuja, mara hili na lile . Wakitengeneza haimalizi wiki mbili tatizo linarudi palepale. Nahisi sijapata fundi anayejua tatizo na wengi wanabahatisha. Naombeni mwenye kujua fundi TIMAMU wa AC alielekeze.
Note:Huyo fundi lazima anipe guarantee ya maandishi maana nimeshaliwa sana .
Aksante.
Naombeni msaada wakuu,nimenunua Gari vitz kwa jamaa,nae ameuziwa na jamaa wa kwanza,sasa road Licence imeisha na nimeshalipia bank wamenipa msg ya kwenda nayo TRA kuprint ile sticker ila kuna mtu aliniambia wanataka kitambulisho cha mwenye Gari na mm simfahamu,nafanyaje wakuu?
Nenda na documents halali za mauziano kisha badili umiliki
Madame B tofauti sijui kivile japo naona wengi wanapendelea VX kwakuwa hata kwa mwonekano VX naonaga iko vizuri zaidi! Huu ni mtazamo wanguNaomba kufahamu tofauti iliyopo kati ya LandCruiser TX na VX, ipi nzuri kwa kuendesha hasa kama mimi ni mwanamke....
Pia ningefahamu bei, maana budget yangu ni 70Mil.
Naomba kufahamu tofauti iliyopo kati ya LandCruiser TX na VX, ipi nzuri kwa kuendesha hasa kama mimi ni mwanamke....
Pia ningefahamu bei, maana budget yangu ni 70Mil.
Kuna jamaa ni mtaalamu sana almaarufu MAKOFIA yupo mtaa wa Lindi na Shaurimoyo waweza mcheki kwa utatuzi wa Ac yako,sina namba yake.
Kuna jamaa yuko vizuri, mlalakuwa, barabara ya kuelekea chuo cha ardhi,pembeni ya etina pub namba yake ni 0655 269628 jaribu kumcheki.