Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

kosa kama hili kisheria linaamuliwaje?? suala la mahakama linatatuaje??

Inategemea na mazingira ya ajali na mwendo ulioruhusiwa eneo la tukio! Huwezi sababisha kifo kimoja ili uokoe wengi eneo la ZEBRA CROSSING halafu utegemee kupona au speed limit ni 80 wee ukawa 120 utegemee sheria itakulinda hilo sahau!!!
 
wakuu mi nina gari (ist) imeingia kama miezi miwili hivi,

1. Radio yake frequncy hazifiki 108Mhz,je kuna ujanja wa kuongeza ili niweze kukamata radio nyingi?

2. Kama haiwezekani,nataka kununua radio mpya (sony),lakin madukani bei hazieleweki, wengine laki mbili feki, original laki nne, wengine original laki sita, naomba msaada bei ya radio ya sony ni tsh ngapi, ya kawaida inayotumia flash?
 
Fanya yote garage nenda na fundi kununua vipuri uimpe fundi hela akanunue wanachakachua sana wote wezi utafungiwa taiwan na kila siku utakuwa unarudi garage km gari la mkaa tripu shamba tripu garage
 
wakuu mi nina gari (ist) imeingia kama miezi miwili hivi,
1. Radio yake frequncy hazifiki 108Mhz,je kuna ujanja wa kuongeza ili niweze kukamata radio nyingi?
2. Kama haiwezekani,nataka kununua radio mpya (sony),lakin madukani bei hazieleweki,wengine laki mbili feki,original laki nne,wengine original laki sita,naomba msaada bei ya radio ya sony ni tsh ngapi,ya kawaida inayotumia flash...?

Nunua kidude kinaitwa fm booster bei yake ni kati ya 20-25 elfu ! Radio nzuri ni kati ya 250-500)laki
 
Ni gari mbili ambazo nimetokea kuzipwnda sana nataka ninunue moja wapo, naombeni msaada kwa wale wanaozijua hizi gari, ipi ipo vizuri kwenye stability, uimara, utumiajiafuta, acceleration. Nawskilisha. Ingawa kwa spear najua Nissan wako juu.

Msaada tafadhali
 
Kimsingi ndiyo ilivyo kuwa unapoweka switch on taa zote za alama mbali mbali kwenye dashboard lazima ziwake kisha gari ikashaka zizime itakayobaki on ndio inatayokujulisha tatizo

Ok, asante kwa maelezo yako nilikuwa nikipata wasiwasi kuwa ni tatizo kwa hayo maelezo nimekuelewa
 
Mkuu unaposema body jepesi unamaana stability yake no ndogo!?

Hapana stability ni nzuri sana ila nadhani bati lililotumika kutengenezea ni jepesi tofauti na body la mark X , Altezza au BMW na Benz
 
Ni gari mbili ambazo nimetokea kuzipwnda sana nataka ninunue moja wapo, naombeni msaada kwa wale wanaozijua hizi gari, ipi ipo vizuri kwenye stability, uimara, utumiajiafuta, acceleration. Nawskilisha. Ingawa kwa spear najua Nissan wako juu.

Msaada tafadhali

Ayaaaaa.........ukinunua nataka nikusindikize kwenye drive test.........
 
Back
Top Bottom