Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #261
bushlawyer nafikiri ni sight mirror if am not mistakenMkuu si "site mirror" bali ni "side mirror"
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bushlawyer nafikiri ni sight mirror if am not mistakenMkuu si "site mirror" bali ni "side mirror"
Horseshoe Arch kwanza nikwambie tu kwamba mimi ni mgonjwa wa magari, ninapenda magari na nimemaliki/ namiliki magari
- Ndugu mshana jr nataka tukujua kama una gari/uliwahi kumiliki gari!
- Nataka pia kufahamu tabia zako mtaani kwenu pindi uliponunua gari (Ruka swali hili kama hujawahi kumiliki)
- Ni kwanini vijana wakiume(ke) waliozaliwa tukiwa kwenye mfumo wa vyama vingi wanawaza tu kumiliki magari wamalizapo shahada/diploma ama kupata ajira ya kwanza?
- Ni kwanini jamii inadhani mtu anayemiliki gari(of which hata 5 K unanunua) ana maisha bora bila kimjini mjini ukiwa na 20 K huwezi kujenga labda uwe umepewa uwanja wa kujengea na baba/babu?
HahaaAAaaa! Umenigusa, ngoja nije
Hebu muite muheshimiwa Maxince Melo
Wakuu kwema..??? Naona wadau wengi wanaomba jukwaa la magari, sasa wakati tunasubiri hilo jukwaa ngoja tuanze na uzi huu.
Kwa kuanzia naomba wale ndugu zangu wa Legacy,impreza,wrx,B4,forester,Pleo etc wajitokeze tubadirishane uzoefu na kuongeza undugu wetu, najua tayari tunateam zetu ila siyo mbaya pia tukiunda team nyingine hapa kwakua sisi sote tuna share teknolojia moja.
Kwa mfano ningependa kuzungumzia kuhusu spea, ni wazi kwamba spea zetu zinauzwa ghari sana lakini changamoto kubwa zaidi ni upatikanaji wa spea zenyewe, kwa mfano majuma mawili yaliyopita nilichochora(kupotea njia) kidogo, gari liliharibika kiasi. Nililazimika kubadirisha ile kitu wanaita wishbone, mziki ukaja kutafuta bumper, nilizunguka mji mzima kuanzia kariakoo mpaka kwa Zizu pale ila ikawa bila bila ikabidi ifanyike modification tu. Ila na uhakika kua kupitia jukwaa la magari ingekua rahisi sana kupata spea hizo.
Kwahiyo binafsi naunga mkono wazo la jukwaa letu, litatufaa sana. Najua mods pia wanaona hilo na huenda mipango na vikao vimeanza kufanywa kwaajili ya hii kitu.
Karibuni kwa mawazo yenu, sijafunguka vizuri sana nipo ktk foleni wakuu..0-60
Mnyenz PAScho Preta Invisible
Ni kweli mkuu, spea za subaru ziko juu. Nadhani ni kwasababu feki hazijaingia sokoni.
Spea zinapatikana hapo Msimbazi karibu na bank ya DTB kwa Nyange.
Kwa forester, badilisha timing-belt kabla haijafika 100km, tumia oil 15w40(multigrade oil) au Quartz 5000 ya Total, oil filter ya gearbox badilisha baada ya 100km. Usitumie spea isiyokuwa ya subaru....usiwaamini sana wanaokuambia zinaingiliana na aina nyingine...za kuambiwa unachanganya na za kwako.
mshana jr hata mm naona kuna walakini katika hizo Mileage kwani nikitoka hapa Dodoma kuja Dar lazima niwe na Timming belt 8 ili niweze kurudi Dodoma 900km na kuifungua hiyo injini kwenye hizo cover sio mchezo bado Oil ya gear boxKwa forester, badilisha timing-belt kabla haijafika 100km, tumia oil 15w40(multigrade oil) au Quartz 5000 ya Total, oil filter ya gearbox badilisha baada ya 100km. Usitumie spea isiyokuwa ya subaru....usiwaamini sana wanaokuambia zinaingiliana na aina nyingine...za kuambiwa unachanganya na za kwako.
Samahani wakuu, hivi ni sahihi kutembea na gari umewasha AC huku umempakia mtoto mchanga ili asipigwe na upepo wa nje? kama si sahihi nini kifanyike pale mtu anaposafiri na mtoto mchanga?
Si sahihi kabisa kifua na mapafu ya mtoto mdogo hayajakuwa na uwezo wa kuhimili baridi ya AC! Cha kufanya kama unasafiri naye kwanza hakikisha umemvisha jacket zito la kuzuia upepo kisha fungua vioo kidogo kuruhusu hewa kuingia
Big up kwako mshana jr kwa kuanzisha thread hii nzuri. Nitqmleta mke wangu aje asomee driving hapa???