Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si sahihi kabisa kifua na mapafu ya mtoto mdogo hayajakuwa na uwezo wa kuhimili baridi ya AC! Cha kufanya kama unasafiri naye kwanza hakikisha umemvisha jacket zito la kuzuia upepo kisha fungua vioo kidogo kuruhusu hewa kuingia
acheni kudanganya watu, ac haina madhara kwa mtoto, nenda aghakhan utakuta mtoto kalazwa na kwashiwa ac, kufungua vioo vya Gari ndo mbaya zaidi maana jiulize Kama gari linachafuka kwa moshi na vumbi je wewe?
upepo wa safirini ni mbaya kuliko hiyo ac, kwanza hata mtu mzima inakunyima comfort
ulaya na dubai kuna watoto toka anazaliwa mpaka utu uzima no full kipupwe tu, mf Dubai wakikusikia unasema ac ina madhara nahic utapigwa risasi hahahaha
Nashukuru mkuu nimekupata kabisa!!!FOB price ina maana kwamba muuzaji mf: kutoka China atahusika na gari yako kutoka anapouza mpk port ya China. Baada ya hapo cost zote kuanzia kupakia, mpaka kuitoa bandarini (port of destination) zinakuwa za kwako na risk zote zitakazoipata hiyo gari zitakuwa juu ya mnunuzi. Tofauti na ukikuta imeandikwa CIF price ambapo gari mpk inafika destination inakuwa chini ya seller na cost unazirudisha baada ya kuiona gari na kuikagua. Nadhani kidogo utakuwa umepata kaulewa apo
Nashukuru mkuu nimekupata kabisa!!!
Hapana mimi sio fundi, runx si ndio kizazi cha ist, Allex, duet nk? Ni gari ambazo hazitaki shida wala mikikimikiki, kwa ushauri nunua gari yeyote kizazi cha corolla100, 110 au hata GX 100 kavu! GX vvti itakutesa
Wanajamii naomba msaada wenu nahitaji kununua gari na nimeipenda sana Toyota Corolla Fielder. Bararbara ninayotumia kila siku ni ya vumbi kama km 6 na pia huwa naenda vijijini ambako miundo mbinu ni tatizo.Naomba kujuzwa kwa mazingira kama hayo mnyama huyo ni sahihi kuwa naye au si mahala pake maana huwa natumia corolla van na haina shida ila nimependa sana muonekano wa Fielder. Wanajamvi msaada wenu jamani.
Na ni vipi kuhusu suzuki vitara kwenye njia ya vumbi?