Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Nataka kujua gharama za kulitoa gari bandari ya Dar es salaam lililoagizwa nje(japan) lenye price ya USD2996 na sifa nyingine kama hizo hapo:-
Gari ni mark2 Gx 110 ya 2004 engine CC2000 mileage 55,800
 
Nataka kujua gharama za kulitoa gari bandari ya Dar es salaam lililoagizwa nje(japan) lenye price ya USD2996 na sifa nyingine kama hizo hapo:-
Gari ni mark2 Gx 110 ya 2004 engine CC2000 mileage 55,800

kuna mtu alitoa namna ya kutumia calculator ya tra...millage wala haina kazi hapo...bei uliyonunulia nayo nadhani haihusiki...kwenye calculator unatakiwa kujua bei ya gari hilo likiwa jipya...exchange rate ya dola...mwaka liliotengenezwa ili kupata depreciation...n.k
 
Nataka kujua gharama za kulitoa gari bandari ya Dar es salaam lililoagizwa nje(japan) lenye price ya USD2996 na sifa nyingine kama hizo hapo:-
Gari ni mark2 Gx 110 ya 2004 engine CC2000 mileage 55,800

Tra kwa rate ya 1800 utawapa 4,157,991 jumlisha na gharama zingine za bandarin ,agent,bima,plate nk nk kwa ujumla wake yaweza fika 850,000
 
jamani nina toyota hilix pickup ya tani moja ni ya mwaka 1996 ila ni automatic ya petrol na inatumia engine ya 3Y.

Natamani kuibadili mfumo wake iwe manual je kuna madhara yeyote katika hili? Pia kama kuna fundi mzuri humu ani pm kujua garama za gearbox na ufundi ili kama zinaendana na budget yangu tufanye kazi.

Kuna mtu alinambia kuwa naweza weka gearbox ya mark two je hii ni sawa? Nawategemea sana wadau kwa ushauri na maoni.
Amani kwako muanzishaji wa uzi
 
NINI MAANA YA ALAMA HIZI KWENYE GEAR!?

P - parking
R - reverse
N - neutral
D, D1,D2- drive
D- normal drive
D1- inatumika kwenye na tifutifu na mwinuko hii mara nyingi inaenda na E-PWR- extra power, kwahiyo unapo engage D1, ni vema uka engage na E-power, mara nyingi button inakuwa kwenye dashboard! Hapa gari inakuwa nzito lakini yenye nguvu sana na mwendo unakuwa mdogo
D2 pia inaenda na E-PWR button na hii inatumika kwenye utelezi zaidi

O/D - over drive, button yake iko kwenye gearleaver, tumia O/D Mara nyingi kwenye speed isiyozidi km 80 kwa SAA
Hakuna hatari ya kuengage na ku disegage O/D kwenye mwendo mdogo lakini ni hatari mno kwenye mwendo mkubwa, ukifanya hivyo hasa kutoa O/D kwenye mwendo mkubwa gari itakuwa nyepesi ghafla hivyo kusababisha kuyumba kupoteza mwelekeo na hatimaye ajali

NB: Alama hizi zaweza kubadilika kidogo kulingana na model ya gari na usasa

Mzee wa picha aka mshana jr, naomba unieleze kwa maneno mengine kuhusu matumizi ya Over Drive (sijakupata vizuri) pia swali lingine ni inapowaka taa nyekundu ya overdrive kwenye dash board hapo ina maanisha gear ipo engaged au pale ambapo haionekani kwenye dashboard ndio inakuwa engaged
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaaa OK Jodoki Kalimilo kwa uzoefu wangu O/D ikiwaka manake iko off na mara nyingi speed 80+ ndio inatumia O/D
Kwakuwa gari ni automatic huhitaji kuwasha na kuzima O/D ni afadhali kuiacha on muda wote
 
Ukisikia mtu yupo sahihi pasipo kujijua ndo mie, maana mie navyoendesha pale inapowaka taa nyekundu ndo najua ipo ON na nimeuliza watu wengi huku nikijijibu mwenyewe wengi hawakunipa jibu na kila mtu ana maelezo yake maana kwa uzoefu pale kwenye dash board panatakiwa pasionyeshe alama nyingine kama kila kitu kinafanya kazi vizurikuanzia hand brake, mlago ukiwa wazi n.k, nikawa najiuliza how come O/D iwe inawaka.

Ahsante kwa elimu kiukweli gari automatic ni rahisi kuendesha ila hapo kwenye gear wengi kidogo kuna utata hii inatokana na ukweli kwamba muda mwingi gari manual imekuwa ikitumika
 
Japo nasikia Carina Ti ziko vice versa nafuatilia hili kujua ukweli wake
 
naomba kuuliza, mtanisamehe kama swali lilishaulizwa kabla, mfano gari ambayo ni ya mwaka 2006 na ina cc 2000 na CIF ni USD 3500 je gharama zake in total mpaka unaendesha inaweza kuwa kiasi gani. Na mchanganuo kama mnaweza kunisaidia pia
 
bushlawyer nafikiri ni sight mirror if am not mistaken

mshana jr soma hii A wing mirror (also fender mirror, door mirror, or side mirror) is a mirror found on the exterior of motor vehicles for the purposes of helping the driver see areas behind and to the sides of the vehicle, outside of the driver's peripheral vision (in the 'blind spot')
 
Jamani mimi nataka kuagiza japani , nisaidieni maana sitaki lije had Dar alafu nishindwe kulitoa, Aina ya gari ni Raumu, CC ni 1490, ya mwaka 2004- Kule natakiwa kulipia USD 2056, hii ni pamoja na CIF. Je likifika Dar nitatakiwa kulipia shilingi ngapi hadi usajili? Nasubiria jibu wakuu.
 
Hivi mods lile ombi letu la kuwa na jukwaa maalumu la magari bado hamjaona haja ya kulishughulikia?
 
Jamani mimi nataka kuagiza japani , nisaidieni maana sitaki lije had Dar alafu nishindwe kulitoa, Aina ya gari ni Raumu, CC ni 1490, ya mwaka 2004- Kule natakiwa kulipia USD 2056, hii ni pamoja na CIF. Je likifika Dar nitatakiwa kulipia shilingi ngapi hadi usajili? Nasubiria jibu wakuu.

Kwa rate ya 1800 tra ni tsh 5,368,293 na gharama nyinginezo andaa kama 750k
 
acheni kudanganya watu, ac haina madhara kwa mtoto, nenda aghakhan utakuta mtoto kalazwa na kwashiwa ac, kufungua vioo vya Gari ndo mbaya zaidi maana jiulize Kama gari linachafuka kwa moshi na vumbi je wewe?

upepo wa safirini ni mbaya kuliko hiyo ac, kwanza hata mtu mzima inakunyima comfort

ulaya na dubai kuna watoto toka anazaliwa mpaka utu uzima no full kipupwe tu, mf Dubai wakikusikia unasema ac ina madhara nahic utapigwa risasi hahahaha

mtoto na AC utaona kesho yake sauti inakatika anakuwa kama kibeberu
 
Mimi ni mgeni humu jamvini lkn nimevutiwa sna na huu uzi. Ndugu yangu ana gari aina ya Pajero mini cc 660, huwa inatokea ikitembea umbali fulan inakuwa kama inatetemeka sana lkn baadae hiyo hali inatoweka. Kwa uzoefu wako kaka Mshana, hiyo hali inaweza kusababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom