Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kujua gharama za kulitoa gari bandari ya Dar es salaam lililoagizwa nje(japan) lenye price ya USD2996 na sifa nyingine kama hizo hapo:-
Gari ni mark2 Gx 110 ya 2004 engine CC2000 mileage 55,800
Nataka kujua gharama za kulitoa gari bandari ya Dar es salaam lililoagizwa nje(japan) lenye price ya USD2996 na sifa nyingine kama hizo hapo:-
Gari ni mark2 Gx 110 ya 2004 engine CC2000 mileage 55,800
NINI MAANA YA ALAMA HIZI KWENYE GEAR!?
P - parking
R - reverse
N - neutral
D, D1,D2- drive
D- normal drive
D1- inatumika kwenye na tifutifu na mwinuko hii mara nyingi inaenda na E-PWR- extra power, kwahiyo unapo engage D1, ni vema uka engage na E-power, mara nyingi button inakuwa kwenye dashboard! Hapa gari inakuwa nzito lakini yenye nguvu sana na mwendo unakuwa mdogo
D2 pia inaenda na E-PWR button na hii inatumika kwenye utelezi zaidi
O/D - over drive, button yake iko kwenye gearleaver, tumia O/D Mara nyingi kwenye speed isiyozidi km 80 kwa SAA
Hakuna hatari ya kuengage na ku disegage O/D kwenye mwendo mdogo lakini ni hatari mno kwenye mwendo mkubwa, ukifanya hivyo hasa kutoa O/D kwenye mwendo mkubwa gari itakuwa nyepesi ghafla hivyo kusababisha kuyumba kupoteza mwelekeo na hatimaye ajali
NB: Alama hizi zaweza kubadilika kidogo kulingana na model ya gari na usasa
Mzee wa picha aka mshana jr, naomba unieleze kwa maneno mengine kuhusu matumizi ya Over Drive (sijakupata vizuri) pia swali lingine ni inapowaka taa nyekundu ya overdrive kwenye dash board hapo ina maanisha gear ipo engaged au pale ambapo haionekani kwenye dashboard ndio inakuwa engaged
Ukisikia mtu yupo sahihi pasipo kujijua ndo mie, maana mie navyoendesha pale inapowaka taa nyekundu ndo najua ipo ON na nimeuliza watu wengi huku nikijijibu mwenyewe wengi hawakunipa jibu na kila mtu ana maelezo yake maana kwa uzoefu pale kwenye dash board panatakiwa pasionyeshe alama nyingine kama kila kitu kinafanya kazi vizurikuanzia hand brake, mlago ukiwa wazi n.k, nikawa najiuliza how come O/D iwe inawaka.Hahahahaaaa OK Jodoki Kalimilo kwa uzoefu wangu O/D ikiwaka manake iko off na mara nyingi speed 80+ ndio inatumia O/D
Kwakuwa gari ni automatic huhitaji kuwasha na kuzima O/D ni afadhali kuiacha on muda wote
Ukisikia mtu yupo sahihi pasipo kujijua ndo mie, maana mie navyoendesha pale inapowaka taa nyekundu ndo najua ipo ON na nimeuliza watu wengi huku nikijijibu mwenyewe wengi hawakunipa jibu na kila mtu ana maelezo yake maana kwa uzoefu pale kwenye dash board panatakiwa pasionyeshe alama nyingine kama kila kitu kinafanya kazi vizurikuanzia hand brake, mlago ukiwa wazi n.k, nikawa najiuliza how come O/D iwe inawaka.
Ahsante kwa elimu kiukweli gari automatic ni rahisi kuendesha ila hapo kwenye gear wengi kidogo kuna utata hii inatokana na ukweli kwamba muda mwingi gari manual imekuwa ikitumika
bushlawyer nafikiri ni sight mirror if am not mistaken
Wadau na ili kupata gari nzur ya bei rahisi atleast kuanzia maisha naeza pata kwa bei gani na ni gari gani? sio used.[/QUOTE
wachek DT.DOBIE watakusaidia
Jamani mimi nataka kuagiza japani , nisaidieni maana sitaki lije had Dar alafu nishindwe kulitoa, Aina ya gari ni Raumu, CC ni 1490, ya mwaka 2004- Kule natakiwa kulipia USD 2056, hii ni pamoja na CIF. Je likifika Dar nitatakiwa kulipia shilingi ngapi hadi usajili? Nasubiria jibu wakuu.
acheni kudanganya watu, ac haina madhara kwa mtoto, nenda aghakhan utakuta mtoto kalazwa na kwashiwa ac, kufungua vioo vya Gari ndo mbaya zaidi maana jiulize Kama gari linachafuka kwa moshi na vumbi je wewe?
upepo wa safirini ni mbaya kuliko hiyo ac, kwanza hata mtu mzima inakunyima comfort
ulaya na dubai kuna watoto toka anazaliwa mpaka utu uzima no full kipupwe tu, mf Dubai wakikusikia unasema ac ina madhara nahic utapigwa risasi hahahaha