Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

jamani nishaurin nataka kununua starlet au vitz je ipi inafaa kwa mimi kijana ambaye naanza maisha,namaanisha ipi haitanigharimu gharama za uendeshaji
 
jamani nishaurin nataka kununua starlet au vitz je ipi inafaa kwa mimi kijana ambaye naanza maisha,namaanisha ipi haitanigharimu gharama za uendeshaji

Chukua Starlet zinahimili shida na taabu nyingi kuliko Vitz
 
Luqman tafuta Toyota kluger ya mwaka 2004 iwe na engine ya 2AZ VVTi 2400cc full option with 4WD ogopa ile ya 3000cc,kluger inahimili kidogo kulinganisha na Harrier other tafuta Toyota hilux 2RZ 215 hii haibishaniwi

Vp ktk mafuta kaka
 
Natak kutafta gari yeny uwezo wa kutembea vzr ktk rough road amby iko economical ktk mafuta... Nlipendkeza Harrier lkn ktk mafuta co nzur... Wataalam nsaidien

Chukua gari ambayo ni Compact ambayo iko juu sawa tu na RAV4. Nunua gari aina ya RUSH iko kama RAV lakini hiyo ni ndogo ila inapita popote na CC ni ndogo yaani 1490! Hutajutia hela yako. Ila zinaanzia dolla 5500-8000 CIF ambayo hadi uitoe ni Tsh 16-19m/-
 
Wadau kuna hz gari zinaitwa Voltz kuna mtu anazijua vizuri katika uwezo na spare zake? Maana naziona siku hz zinaingia kwa fujo.
 
Vp ktk mafuta kaka

Kaka mafuta kwenye foleni za mjini inakunywa nafikili 8~9km/liter hata chini ya hapo :nimesema nafikili kwani ni ngumu kupima kwenye foleni za dar lakini kwenye highway inakunywa 10.8 hadi 11.6 !nilisafili toka dar hadi mwanza 1165km nilitumia lita 102.!sijui experience ya wengine wenye magari hayo ila mimi hiyo ndio observation yangu
 
Co mby sana lkn bei ikoo mbal kdg nahtaj ya chni kdg
 
Habar wapendwa,Ninahitaji ushauri katika hili,kuna mtu anataka kuniuzia hii gari,engine yake iko sawa lakini je,nataka kujua kama hizi gari aina hii combi huwa zina sumbua nini hasa?
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1427298202.512010.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1427298202.512010.jpg
    40.5 KB · Views: 376
haha,kiongozi mbona unasonga mbele kurudi nyuma,mi nadhani hizo ni outdated sana aisee,kelele mingi,sio comfortable,ni shida
 
Habar wapendwa,Ninahitaji ushauri katika hili,kuna mtu anataka kuniuzia hii gari,engine yake iko sawa lakini je,nataka kujua kama hizi gari aina hii combi huwa zina sumbua nini hasa?

Hilo kuna new model lake caravelle ni noma ziko njema mno
 
Namiliki Deut nipo Mtwara nahitaji power window na ring piston kit msaada please
 
Nataka kununua toyota carina Ed ushauri kuhusu hizi gari japo ni za muda kidogo
 
Nataka kununua toyota carina Ed ushauri kuhusu hizi gari japo ni za muda kidogo

Nafikiri unazungumzia Exiv zilitamba 2000-2007 kisha zikapotea sina uzoefu nazo kivile na pengine ushuru waweza kuwa tatizo
 
Back
Top Bottom