Check out www.autocj.co.jp or call /whatssap 0767328063 for more information
Office zetu zipo hapa Quality Center, Nyerere Road Dar es salaam almaarufu kama uchumi supermarket.
Poa thanx alot ntakutafu ngoja nijiweke sawa kidogo mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Check out www.autocj.co.jp or call /whatssap 0767328063 for more information
Office zetu zipo hapa Quality Center, Nyerere Road Dar es salaam almaarufu kama uchumi supermarket.
Msaada..
Nina Toyota Cami ambayo kwa wiki sasa incase nikiizima kwa muda then nikawasha inakawaka na inatulia ila nikiingiza gear inakuwa kama inatetemeka hasa hasa wakati wa reverse.
Niliipeleka garage wakasema ni plug za engine walivyobadili kwa kuweka mpya ikawa ikiwaka after 2-3 minutes inazima akarudisha za mwanzo ikapiga mzigo but tatizo la kutetemeka still lipo. Oil zote ziko safi.
MSAADA WA KITAALAMU TATIZO LAWEZA KUWA NINI?
Tafadhari wadau,
Ni wiki ya pili sasa nateseka na spea ya gari bila mafanikio. Nahitaji puli yenye sensor ya Rav4, 3s, VVti, Yamaha engine. Upande mmoja ina meno 32 upande mwingine meno 23.
Tafadhari hata taarifa za masuper dealer wa spares nitashukuru sana.
Nawasilisha
Aisee huyo fundi aliyechomoa wire wa gauge ya temperature usisome ni jambazi na muuaji mkubwa wa hiyo gari
Hebu tafuta fundi makini acheki yafuatayo
-wiring
-radiator n water system ikiwemo pump
-radiator fan
-engine block
-radiator cap
Jamani mwenye uzoefu na Volkswagen toureg or Tiguan hapa bongo. Vipi mafundi wanazimudu?
Wadau nauliza kati ya toyota allion na axio ipi ni bora na sababu gani? Mafundi bongo wana ziweza? Zote cc1500
Una wasiwasi wa kupatikana kwa mafundi kwa gari za Toyota TZ, hao ndio wamejaa!!
wakuu heshima kwenu:
kuna ka vx nataka kumvua mtu ila turbo yake imekufa.Naomba mnisaidie ushauri kwa maswali haya:
1: Gari aina ya VX ambayo ilitengenezwa na turbo kama turbo ikifa ni tatizo kubwa sana kwenye gari kwa maana ya kwamba inaweza kuuwa kitu kingine ikiendelea kutumika bila kurudishia hiyo turbo?
2: Je turbo inaweza kuwa cancelled for good na isilete madhara au hitilafu kwenye gari?
3: Nini faida/hasara ya turbo kwenye gari?
Mkuu Turbo mpya si chini ya m.8