Biohazard
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 2,197
- 1,465
Kaka mshana VP kuhusu injini yake?in aina gani na hasara zake?kuhusu ishu uliyoshaur awali c tatzo maana barabara ya vumbi ni ka mita mia 3 baada ya hapo lami hadi kazn ,nakaa chanika VP kuhusu wese kwa umbali ule ?I hope wadau mnapajua chanika
Engine ni za kawaida tu, unaweza kuchukua yenye 1Zz ambazo pia zipo kwenye spacio na opa pia kuna 1AZ ambazo pia zipo kwenye rav 4, noah au voxy.
Hizo engine zinataka uweke oil yake ya kwenye kitabu cha gari wanazijua mafundi wengi ma bei zimesimama kwa lita na sio pungufu ya elfu 20 kwa lita, so service ya gari Uwe na Kama 150,000 ndo utazipenda hizo noah voxy au hiyo wish, ila ukiweka oil zetu za elfu 30 engine itakufa mapema sana coz hizo engine katika vvti ni sensitive sana katika lubricant. Thats y wengi voxy zimewashinda.
Pili chukua ushauri wa mshana katika ubora wa miguu. Hizo Link nk zinakera zinapoisha na gari inapiga sana kelele ukiingia rough road.