Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wadau Nina vista ardeo station wagon ilipata ajali naulizia bei ya cross member yake used sh ngapi
 
Wadau Nina vista ardeo station wagon ilipata ajali naulizia bei ya cross member yake used sh ngapi

Aisee fika Ilala kwenye maduka ya spare japo hizo gari sio nyingi
 
Aisee fika Ilala kwenye maduka ya spare japo hizo gari sio nyingi
Ni kweli ni aina ya gari chache sana Mshana na nashukuru Nimekaa nayo mwaka wa tatu sasa Ndo spare part ya kwanza nabadilisha.. Sijui ni ilala sehemu gani haswa.
 
Ni kweli ni aina ya gari chache sana Mshana na nashukuru Nimekaa nayo mwaka wa tatu sasa Ndo spare part ya kwanza nabadilisha.. Sijui ni ilala sehemu gani haswa.

Maduka yote ya spare kuanzia pale Benjamin
 
Tusisahau hii kitu wiki ya usalama barabarani...ni minor issue ila usipokua nayo itakugharimu 30,000 plus kukupotezea muda...itafute hii stika ni elfu tatu tu kwa private cars!
 
Attachments

  • 1440496802562.jpg
    1440496802562.jpg
    37.9 KB · Views: 332
Nahitaji kubadilisha gear box ya gari(TOYOTA hiace engine 1tR) kuIfanya manual. Haina tatizo ila ni kwamba ulaji wa mafuta wa auto uko juu sana.
Nahitaji ushauri kwanza ni vifaa gani vitahitajika na vinaweza kugharim kiasi gani? Vilevile je hii gear box nitayotoa naweza kupata mteja?
 
Rafiki yangu anataka kununua toyota funcargo,sasa anaomba ushauri jamvini humu kwa wataalamu juu ya uimara na matumizi ya mafuata yake.
Natanguliza shukrani
 
Rafiki yangu anataka kununua toyota funcargo,sasa anaomba ushauri jamvini humu kwa wataalamu juu ya uimara na matumizi ya mafuata yake.
Natanguliza shukrani

Binafsi ningeshauri abadili gari Kama ni mtu wa mishemishe funcargo ni nzuri lakini haiwezi suluba
 
Nataka kununua gear box oil ya nissan xtari,kwenye stick imeandikwa "Fluid matic J"
Hii ndo dx 4 compliant au na je ninunue kiasi gani na aina gani please.
Cc mshanajr
 
Last edited by a moderator:
Nataka kununua gear box oil ya nissan xtari,kwenye stick imeandikwa "Fluid matic J"
Hii ndo dx 4 compliant au na je ninunue kiasi gani na aina gani please.
Cc mshanajr

Nakushauri uende master card mtaa wa msimbazi karibu na big bon
wanayo,
 
Last edited by a moderator:
Wakuu poleni na majukumu. Nina swali hapa, hivi hii lugha ya kijapani/kichina ambayo ipo kwenye radio nyingi za magari inawezekana kubadilisha mfano kwenda kiinglish or kiswahili or any other language?? Na kama ndio how??
 
Back
Top Bottom