Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

nabjtaji kununua mimi kitambo laki i huwa naziogopa sana bei zake i think huu mwaka kabla haujaisha nitanunua nalenda zile ambazk sio kipanya kwa matumizi ya biashara napenda zile kama caravaan na muundo ule ila bei sasa

hahaha masai dada
Ungeandika kiswahili tungeweza kuchangia maana wengine kimasai hatukijui....lol
 
Last edited by a moderator:
Hivi Jeep Grand Cherokee SRT,Range Rover Sport Supercharged na Land Cruiser Lexus ipi iko njema zaidi? Tukichukulia Models za tokea 2013 to date!
 
Mkuu huu uzi ungeusindikiza na tupichapicha kidogo ingekuwa bomba sana!
 
Lexus mnyamakazi, Range Rover ya kinyangema Halafu mayai Sana Cherokee inacheza katikati
 
Mkuu huu uzi ungeusindikiza na tupichapicha kidogo ingekuwa bomba sana!

1443023566208.jpg
 
naomba kuuliza ni kampuni gani wanauza magari mazuri na cheap kati ya beforward,autoreck,car junctio na nyinginezo .msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom