Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

kuna rafiki yangu hana ID jf anaomba kujua tofauti ya starlet reflect,soleil na carat.
 
Mshana naomba unijuze kwanini gari yangu Rav4 gx consumption yake ya mafuta imekuwa juu sana tatizo nini?
 
Ina cc ngapi? Lakini pia Rav 4 zina fuel consumption kubwa yako inaenda km ngapi kwa litre?
 
Najipanga kununua my dream car land rover old model kuagiza itanicost bei gani?

105 au 110? Haifiki dola 200 ila mziki uko huku Tanzania kwenye kuitoa
Hiyo bei niliwahi kuona kwenye mtandao
 
Ina cc ngapi? Lakini pia Rav 4 zina fuel consumption kubwa yako inaenda km ngapi kwa litre?

GX ina cc 2000........ni UK version........hebu Kaluguyu fafanua zaidi ili tuelewe........ina tatizo lolote.....?......
 
Last edited by a moderator:
kuna rafiki yangu hana ID jf anaomba kujua tofauti ya starlet reflect,soleil na carat.

Nadhani ni matoleo tu.......soleil........carat then reflect kama sikosei......na kuna moja inaitwa glanza......hiyo ina turbo na engine kubwa kidogo kuliko wenzie.........
 
niliomba: shauri kwa wanao ifahamu gari aina ya toyota ISI na kqma ina matatizobyeyote kabla sija iagiza naomba msaada jamani

Mkuu hii gari yako naona haina wateja wengi.......coz wengi wanaotoa maoni hapa wameshatumia baadhi ya magari.......na wengine ni mafundi..........ila nimeona ina engine ya 1AZ na 1ZZ........hiyo 1AZ ina VVTI......hapo kidogo ni mweupe.......tumngoje mshana jr arudi kama alivyo ahidi.......
 
Preta kwanza big up sana uko vizuri sana ukanda huu...nimejaribu kufuatilia lakini niseme tu kweli sikufanikiwa kivile hizi gari ni chache sana nchini hivyo ningemshauri ndugu yangu afikirie vinginevyo
 
Last edited by a moderator:
GX ina cc 2000........ni UK version........hebu Kaluguyu fafanua zaidi ili tuelewe........ina tatizo lolote.....?......

Nadhani ni matoleo tu.......soleil........carat then reflect kama sikosei......na kuna moja inaitwa glanza......hiyo ina turbo na engine kubwa kidogo kuliko wenzie.........

Thanks Preta...!!!
 
Last edited by a moderator:
Nahitaji kuagiza Toyota platz cc 1000 naomba kujua changamoto zake.
 
Habarini jamani! Naomba kuuliza kama kuna tofauti ya transmission ya automatic na automatic CVT katika utendaji wake wa kazi ama ni kitu kimoja!?
 
Back
Top Bottom