Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
kuna rafiki yangu hana ID jf anaomba kujua tofauti ya starlet reflect,soleil na carat.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna rafiki yangu hana ID jf anaomba kujua tofauti ya starlet reflect,soleil na carat.
niliomba: shauri kwa wanao ifahamu gari aina ya toyota ISI na kqma ina matatizobyeyote kabla sija iagiza naomba msaada jamani
Preta kwanza big up sana uko vizuri sana ukanda huu...nimejaribu kufuatilia lakini niseme tu kweli sikufanikiwa kivile hizi gari ni chache sana nchini hivyo ningemshauri ndugu yangu afikirie vinginevyoMkuu hii gari yako naona haina wateja wengi.......coz wengi wanaotoa maoni hapa wameshatumia baadhi ya magari.......na wengine ni mafundi..........ila nimeona ina engine ya 1AZ na 1ZZ........hiyo 1AZ ina VVTI......hapo kidogo ni mweupe.......tumngoje mshana jr arudi kama alivyo ahidi.......
GX ina cc 2000........ni UK version........hebu Kaluguyu fafanua zaidi ili tuelewe........ina tatizo lolote.....?......
Nadhani ni matoleo tu.......soleil........carat then reflect kama sikosei......na kuna moja inaitwa glanza......hiyo ina turbo na engine kubwa kidogo kuliko wenzie.........
Nahitaji kuagiza Toyota platz cc 1000 naomba kujua changamoto zake.
Changamoto za kuagiza........au ufanisi wake........?........
Ufanisi wake, sio uagizaji
Haina tofauti na Vitz......kwanza zipo grp moja.......tofauti ni.....moja hatchback........nyingine sedan........nadhani........
105 au 110? Haifiki dola 200 ila mziki uko huku Tanzania kwenye kuitoa
Hiyo bei niliwahi kuona kwenye mtandao