Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Daah hio kitu naipenda sana Mungu akijaalia mwaka ujao nitainunua, kwenye parts hapo tutapambana tu mkuu mshana jr.

Very good kizuri gharama ipe roho ile kitu inapenda ....kikubwa roho pesa inatafutwa
 
Very good kizuri gharama ipe roho ile kitu inapenda ....kikubwa roho pesa inatafutwa

Hio ni kweli kabisa mkuu wangu,At fast niliigopa nilipoona cc 1300 lkn performance yake niliishangaa sana maana kuna jamaa Anayo hapo ofisini ni balaa
 
Hio ni kweli kabisa mkuu wangu,At fast niliigopa nilipoona cc 1300 lkn performance yake niliishangaa sana maana kuna jamaa Anayo hapo ofisini ni balaa

Go for it...!!! After all ni unique & xclusiv
 
Hii ufahamika kama Electronically Controlled Transmission(ECT) hii button uki weka on ina sababisha gear box kuchelewa ku- change gear hutumika hasa kwenye nchi za barafu

Na ile button nyingine ya pembeni yake ukiibonyeza yanatokea maandishi ya njano kwenye dash board "ECT MANU" inaashiria nini?
 
Wakuu, naombeni msaada wenu . Gari yangu nikiamka asubuhi kila nikiwa she haipatikani nimejaribu kubadilisha betri bado inagoma, ila nikigongagonga starter inawaka, tatizo itakua ni nini Wakuu
 
Wakuu, naombeni msaada wenu . Gari yangu nikiamka asubuhi kila nikiwa she haipatikani nimejaribu kubadilisha betri bado inagoma, ila nikigongagonga starter inawaka, tatizo itakua ni nini Wakuu

Shida ipo kwenye starter
 
Wadau nauza Rims na Tairi zake za BMW X5 ni Size 19" Pamoja na Taa za mbele na nyuma Complete. Vyote ni kama vipya bei chee. Rims 4 na Tairi 4. nauza 1300000. Taa zote mbele na nyuma Complete nauza 520000. Kwa mwenye kuhitaji ani PM please Vyote ni Original made by BMW.
 
Sijakuelewa....!!!

Nataka toka dar kwenda mza na umenambia platz gari nyanya sana, hazina nguvu engine kama vtz tu .vp kwa siku moja naweza tumia njian? Mf nkitoka dar 10 alfajiri tatu usiku siwez kuwa mwanza? Kwa mwendo wa kawaida tu mkuu, ukizingatia tochi kibao saiv.
 
Unafika bila tatizo nikisema ni nyanya sio kihivyo ndugu yangu
 
Wadau naombeni msaada wenu nina hitaji engine ya Toyota hiace 5L, used nitapataje na harama zake kiasi gani.
 
Back
Top Bottom