Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bysange kwa uzoefu Wangu binafsi hizo gari zinawatesa wengi ndio maana zimeshindwa kabisa kukubalika hapa nchiniPoleni kwa majukumu wakuu,naomba uzoefu wenu juu ya gari ya kutembelea aina ya Isuzu Wizard,bimaana ustahamilivu wake ktk barabara za vumbi,ulaji wa mafuta per km na upatikana na bei za vipuli.
Natanguliza shukrani kwenu.
Watafute mafundi radio watakusaidiaNaomba msaada wenu...Dashboard dvd radio ya gari inatoa sauti ila screen ni nyeupe tu
Raum kwa yard za hapa nchini inaenda kwa bei gani!???Kwa Kua unahitaji gari ya kuitumia pamoja na Familia angalia Ile yenye room ndani, ambayo ni comfortable... Raum itakufaa zaidi. Lakini IST ni nzuri pia na haito kusumbua pindi ukiamua kuachana nayo.
Hapo.naona kwa speed na.mazingira inasoma wastan wa 5.8 kwa km.Msaada katika usomaji wa consumption ya mafuta katika Harrier cc 2400
Samahan mkuu naomba kujua OD inakuwa on kipind kipi? ni pale dashboard inapoonesha neno OD au ni pale dashboard inapokuwa haioneshi neno hilo. Msaada wakuuKwa uzoefu wangu kama unasafiri safari ndefu ni vizur over drive kuwa On hii itakusaidia gari kukimbia zaidi kwani ikiwa Off halaf unasafir safari ndefu utaichosha injini kwani itakuwa inadai gear nyingne wakati gearbox haijapewa nafasi ya kubadili, pia hiyo itachangia gari kutumia mafuta mengi lakn ikiwa On itarahisisha gari kukimbia zaidi na kubadili. Kumbuka unashauriwa kabla ya kuo-overtake gari unatakiwa kuiweka Off ili kuipa gari nguvu zaidi.
Asante mkuuInapokuwa haionyeshi kitu