Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mkuu naomba unishauri kati ya BMW 3 series 318 au 320 zote za 2011 bora ipi? Na zote kwa pamoja ukilinganisha na AUDI A4 ya 2010? Kwa mazingira yetu ntaishi nayo na service zake vipi?

Pia vipi kuhusu gari kutoka Singapore unaweza kushauri mtu kununua kutokea huko?

Naomba uzoefu wako.
Mpwa chukua Subaru

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Almost the same but kwangu ningeshauri 320 pata td ya diesel utaenjoy sana
Mkuu naomba unishauri kati ya BMW 3 series 318 au 320 zote za 2011 bora ipi? Na zote kwa pamoja ukilinganisha na AUDI A4 ya 2010? Kwa mazingira yetu ntaishi nayo na service zake vipi?

Pia vipi kuhusu gari kutoka Singapore unaweza kushauri mtu kununua kutokea huko?

Naomba uzoefu wako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Pia inashauriwa hata kama oil hiyo ni km say 3000 usisubiri hadi zifike exactly..ukisubiri iwe chafu sana unaua engine..mi nilikua natumia bp standard kwa nissan ila nikifika 2500 naitoa.ila kwa sasa nimehamia kwenye fully synthetic ya km 20,000 ndo service.
Full synthetic being gani kwa lita? 5w-30
 
Habari za majukumu ndugu zangu naombeni ushaur kati ya passo racy na nissan note ipi gar nzuri kwa kuanzia maisha na bajeti yake inaweza kuwa M ngap kwa iliyotumika hapa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Full synthetic being gani kwa lita? 5w-30
Bei inategemea na kampuni kama liquimoly ni 140,000, castrol 100k-125k total 60k, oryx 55k gp 50k inategemea na kampuni unayotaka pia hakuna oil ambayo inatembea zaidi ya km 10k kwenye hizo hapo juu maana nimeona mdau mmoja kasema anayo ya 20,000 km haipo hapa dumiani
 
Pia inashauriwa hata kama oil hiyo ni km say 3000 usisubiri hadi zifike exactly..ukisubiri iwe chafu sana unaua engine..mi nilikua natumia bp standard kwa nissan ila nikifika 2500 naitoa.ila kwa sasa nimehamia kwenye fully synthetic ya km 20,000 ndo service.
Mkuu hakuna oil inayotembea km 20,000 huyo aliekwambia hivyo sio rafiki wa gari yako ila ni mfanyabiashara wa faida oil nyingi za kampuni zinazoaminika duniani kama liquimoly, Castro, total oryx, GP lake oil hazitembei zaidi ya km 10,000 kwa fully synthetic sasa hiyo yako umeitoa wapi?
 
Bei inategemea na kampuni kama liquimoly ni 140,000, castrol 100k-125k total 60k, oryx 55k gp 50k inategemea na kampuni unayotaka pia hakuna oil ambayo inatembea zaidi ya km 10k kwenye hizo hapo juu maana nimeona mdau mmoja kasema anayo ya 20,000 km haipo hapa dumiani
Mara ya mwisho nmeweka Total hiyo ya 60,000/= mwezi December tarehe 20.
Nmetembea km 450 tu. Kuna haja ya kubadilisha kwa kua imekaa muda mrefu au nisubiri hadi ifike angalau 1,000/=?
 
Na sio sheria kwamba unatakiwa kubadilisha oil kila baada ya km 10,000 swala la oil unatakiwa ubadilishe angalau kati ya km 5000-7000 kama umeweka synthetic na genuine oil filter au kubadilisha kati ya km 1000-2500 kama umeweka mineral oil hii itakusaidia kuweka kuilinda engine yako na ikaweza kudumu kwa mda mrefu zaidi, pia unashauliwa kumwaga oil na kuweka mpya pindi tu ukigundua oil level yako iko chini to the minimum point na hapa ndio wengi huwa wanakosea badala ya kumwaga na kuweka mpya yeye anaongezea tu kwa kufanya hivyo unazidi kuharibu engine yako badala ya kuitibu kwani unachokiongeza kinaenda kufanya kazi ndogo sana mle ndani
Nimalizie kwa kusema tu sababu za kubadilisha oil na kuweka mpya ziko kadhaa ila kwangu angalau
01 badili oil yako kati ya km 5000-7000 kama umeweka synthetic oil na genuine oil filter na km 1000-2500 kama umeweka mineral oil
02 badili oil yako kama imepungua hadi kufikia hatua ya minimum, tukalibishe wengine wenye uelewa mpana zaidi wa oil na vilainish
 
Nashukuru mkuu kwa kuchukua muda wako kujibu maswali yangu lakini kwa matumizi yangu hadi nifike km1,000 itanichukua miezi 3 ijayo.
Ni baada ya muda gani (interval) nnatakiwa kubadili oil.
Kutoka December hadi sasa ni miezi minne imepita tayari.
Naogopa kukaa na oil miezi mingi nahisi inaweza kupungua ubora wake.
Oil filter nayotumia ni ile ya Toyota ya sh. 10,000/= siyo genuine kwa gari husika.
 
Je hiyo gari inatembea au umeipaki tu?
 
Back
Top Bottom