Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #6,581
Gari za kisasa zina sensor Lakini kama ni ya kizamaniMshana Jr,asante kwa thread hii.Swali langu ni je ntajuaje kuwa gari inakula Oili kuliko kawaida yake? Ishara za gari kula oil ni zipi? Asante.
1. Utajua kupitia dip stick unapocheki kiwango cha oil
2. Moshi mweupe kwenye exhaust