Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mambo vpi wakuu. Tunauza Spea za gari aina zote aina zote Taa, Mabampa, Milango, Show, Mountings, Engine, Gearbox, Radiator, shockups Nk. Tunapatikana ilala machinga complex tunaangaliana na msikiti wa songea Tucheki 0693163110
 
Natafuta shock absorber Toyota Hilux LN 106 heavy duty pamoja na leaf spring
 
Mambo vpi wakuu. Tunauza Spea za gari aina zote aina zote Taa, Mabampa, Milango, Show, Mountings, Engine, Gearbox, Radiator, shockups Nk. Tunapatikana ilala machinga complex tunaangaliana na msikiti wa songea Tucheki 0693163110
Hebu zilete Hulu

Naomba kuuliza,

Hivi inawezekana kwa mfano, Subaru forester xt 2015 ikaharibika na ukafungua spare kwenye xt ya 2014 ukaifunga na ikafanya kazi?

Inawezekana hiii..
 
Bila shida kabisa ila inategemea na spare part number kama zinaoana
 
Yaani Kwa mfano Generation ya 2013 mpaka 2016 ni kama zinafanana sana kuanzia muonekano...sasa ninaweza kununua Spare ya 2013 nikaifunga kwenye ya 2016 na ikawa Sawa?
 
Inawezekana kabisa lakini inategemea na spare, maana sio zote zinaingiliana
 
Naomba ufafanuzi juu ya Betri je betri N50 inatumika kwa Magari ya ukubwa gani Cc ?na N70 kwa Magari ya ukubwa gani?
Mara nyingi inategemea na ukubwa wa engine japo in most cases zinaweza kuingiliana
 
Jamani naomba ufafanuzi kuhusu engine oil ya gari aina ya Toyota premio F , maana me natumia oil ya CASTROL 20W_50. Maana kuna fundi kaniambia oil hii haifai maana ni kubwa sana........lkn fund mwingne kasema hii ndio sawa maana gari Ina mileage zaid ya 120000 Km
IMG_20221127_095011_187.jpg
 
Suzuki Escudo engine G16 automatic transmission gari ikitembea inabadilika ghafula inakuwa kama ipo free mimi nipo kijijini mafundi wanasema ni tatizo la gearbox suluhisho wengine wanasema nifunge gearbox nyingine lakini wengine wanasema kuwa ndani ya gearbox kuna plates za kubadilisha sijui suluhisho ni lipi kati ya hizo options sijafungua gearbox gari nimelipaki tu
 
Jamani naomba ufafanuzi kuhusu engine oil ya gari aina ya Toyota premio F , maana me natumia oil ya CASTROL 20W_50. Maana kuna fundi kaniambia oil hii haifai maana ni kubwa sana........lkn fund mwingne kasema hii ndio sawa maana gari Ina mileage zaid ya 120000 KmView attachment 2518876
Angalia kwenye mfuniko wa engine utapata model yake ama ingia mtandaoni
 
Suzuki Escudo engine G16 automatic transmission gari ikitembea inabadilika ghafula inakuwa kama ipo free mimi nipo kijijini mafundi wanasema ni tatizo la gearbox suluhisho wengine wanasema nifunge gearbox nyingine lakini wengine wanasema kuwa ndani ya gearbox kuna plates za kubadilisha sijui suluhisho ni lipi kati ya hizo options sijafungua gearbox gari nimelipaki tu
Hatuna mafundi wazuri wa gearbox hivyo nakushauri badili gearbox yote funga nyingine lakini lazima muuzaji akupe Guarantee
 
Jamani naomba ufafanuzi kuhusu engine oil ya gari aina ya Toyota premio F , maana me natumia oil ya CASTROL 20W_50. Maana kuna fundi kaniambia oil hii haifai maana ni kubwa sana........lkn fund mwingne kasema hii ndio sawa maana gari Ina mileage zaid ya 120000 KmView attachment 2518876
Hiyo yako ni high mileage kwa gari ambazo kilometres zimesogea sana recommended ni hii
69-8.jpg
 
Back
Top Bottom