Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Gari ni mazda demio, asubuhi nimekuta Ina hizo alama,shida itakuwa Nini mshana
IMG_20230907_133757~3.jpg
 
Kiongozi gari ipi inafaa Kwa Mimi ambae nataka KUMILIKI gari Kwa mara ya kwanza Kwa budget isiozidi 18M.
 
Kwahiyo naamini umepata jibu sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mimi nina shida nina gari aina ya toyota corsa ile ndogo; tumefunga valve seal na piston rings mpya. Baada ya kufunga hivyo vitu, engine imekuwa na mngurumo mzito utafikiri trekta.
Nimebadilisha plugs, nimeosha MAFS, wamerekebisha sailensa lakini wapi
Nimelipeleka veta wakafanya diagnosis lakini wanasema hakuna shida
Hebu mzee nisaidie nifanyeje?
 
Back
Top Bottom