kush mafichoni
Member
- Aug 6, 2023
- 31
- 20
Ni carina ti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni carina ti
Check pump japo hizo gari sio powerful sana milimaniNi carina ti
Kupunguza msuguano na kuongeza uimara kati ya body na shockupMshana naomba kujua umuhim wa bushi za nyuma kwenye gari,maana naona Kuna shokaup Kuna spring zile Sasa hizi bushi umuhim wake Nini..???
Alternator ina shida kwahiyo battery haichajiGari ni mazda demio, asubuhi nimekuta Ina hizo alama,shida itakuwa Nini mshanaView attachment 2741980
JituMirabaMinneGari ni mazda demio, asubuhi nimekuta Ina hizo alama,shida itakuwa Nini mshanaView attachment 2741980
aaha ok mkuu shukrani kwa shule...!!Kuna vibati vile vinavyobana break pads havijabanwa vema au pads zimelika sana
Ukipata Kluger hutajutaKiongozi gari ipi inafaa Kwa Mimi ambae nataka KUMILIKI gari Kwa mara ya kwanza Kwa budget isiozidi 18M.
Asantee kiongozi
Yaani umewasha gari hizo alama zikabakia?Gari ni mazda demio, asubuhi nimekuta Ina hizo alama,shida itakuwa Nini mshanaView attachment 2741980
Kama amewasha na zikabakia hapo ni oil pressure na alternator haviko sawa.
Kuwa specific: oil pump? Fuel pump? Water pump?
Hii Alama unajua maana yake? Hiyo ya pili?Kuwa specific: oil pump? Fuel pump? Water pump?
Fuel filter je?
Pia: oil chafu. Fungua sample toa strainer na safisha vizuri.Alternator ina shida kwahiyo battery haichaji
Ya pili ni taa ya oil, ni aidha oil imepungua ama imevuja usijaribu kuwasha gari mpaka upime oil au umuite fundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Check engine oilHii Alama unajua maana yake? Hiyo ya pili?View attachment 2746218
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mimi nina shida nina gari aina ya toyota corsa ile ndogo; tumefunga valve seal na piston rings mpya. Baada ya kufunga hivyo vitu, engine imekuwa na mngurumo mzito utafikiri trekta.