Mada maalum ya ndege toka FB

Mkuu nina shida nawewe pm,, nimeona umeifunga
 
Ajali ya ndege ya Japan Airlines Flight 123 mnamo Agosti 12, 1985, iliongoza kuwa na idadi kubwa zaidi ya vifo vya ajali katika ndege moja.

Watu 520 walipoteza maisha kwenye ndege ya Boeing 747.
Sababu ya ajali ni uzembe wa kutofuata mwongozo wa ukarabati kulingana na utaratibu wakati ndege hiyo ilipoburuta mkia miaka saba nyuma.
Hali hiyo ilipelekea kung'oka sehemu ya mkia na rubani kukosa udhibiti wa ndege.

๐Ÿ“ธ
X
 
Mapema leo (05 Mei), ndege ya R Komor aina ya Fokker-50 yenye usajili D6-AIB imeingia kichakani katika uwanja wa ndege wa Moheli Bandar Salam kisiwani Comoro mara baada ya kushindwa kupaa.
Timu za DRSC ziliokoa abiria na mwanamke mmoja pekee ndiye aliyetajwa kupata majeraha kati ya abiria 52.

Ripoti:
aviationbrk
 
Attachments

  • FB_IMG_1714957228222.jpg
    116.3 KB · Views: 10
Mapema leo (05 Mei), ndege ya R Komor aina ya Fokker-50 yenye usajili D6-AIB imeingia kichakani katika uwanja wa ndege wa Moheli Bandar Salam kisiwani Comoro mara baada ya kushindwa kupaa.
Timu za DRSC ziliokoa abiria na mwanamke mmoja pekee ndiye aliyetajwa kupata majeraha kati ya abiria 52.

Ripoti:
aviationbrk
 
Shirika la ndege, Korean Air imeibomoa na kuitupilia mbali ndege yake aina ya Airbus A380 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Incheon.
Ndege hiyo HL7613 ilitengenezwa mnamo 2011.
Shirika hilo la ndege lilisimamisha Airbus380 pamoja na ndege nyingine tatu za aina hiyo.

๐Ÿ“ธ:
Spotter.ice (IG)
 
Attachments

  • FB_IMG_1715016540330.jpg
    48.9 KB · Views: 9
Shirika la ndege, Korean Air imeibomoa na kuitupilia mbali ndege yake aina ya Airbus A380 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Incheon.
Ndege hiyo HL7613 ilitengenezwa mnamo 2011.
Shirika hilo la ndege lilisimamisha Airbus380 pamoja na ndege nyingine tatu za aina hiyo.

๐Ÿ“ธ:
Spotter.ice (IG)
 
Nauliza ikiwa inatembea ardhini inaweza kurudi nyuma????
 
Picha za kwanza za wazi za ndege ya mizigo ya Fedex aina ya Boeing 767-3S2F ambayo ilitua kwa dharura kwenye Njia namba 16R baada ya tairi ya mbele kugoma kutoka nje ilipokuwa inakaribia kwenye Uwanja wa Ndege wa Istanbul (IST) mapema leo (08 Mei).

Taarifa/Picha
FL360aero/X
 
Attachments

  • FB_IMG_1715279123923.jpg
    72.5 KB · Views: 9
Picha za kwanza za wazi za ndege ya mizigo ya Fedex aina ya Boeing 767-3S2F ambayo ilitua kwa dharura kwenye Njia namba 16R baada ya tairi ya mbele kugoma kutoka nje ilipokuwa inakaribia kwenye Uwanja wa Ndege wa Istanbul (IST) mapema leo (08 Mei).

Taarifa/Picha
FL360aero/X
 
Khaaa!!!!? Kaka imehamia wapi siku hizi???
 
Shirika la Ndege la Ethiopia limeendesha aina 28 za ndege tofauti zikiwemo ndege za kipekee.
Hii ni pamoja na ndege zinazotumia jeti na propela, kama vile Antonov An-12, McDonnell Douglas MD-11 na DC-6.
Shirika hili lililoanzishwa mnamo 1945, kwasasa lina jumla ya ndege 154 mchanganyiko zikiwemo, Airbus A350-900, Boeing 787, Boeing 777, Boeing 767, Boeing737, Bombardier Q400 n.k

Taarifa fupi:
simpleflying.
 
Attachments

  • FB_IMG_1715364665937.jpg
    30.5 KB · Views: 9
Shirika la Ndege la Ethiopia limeendesha aina 28 za ndege tofauti zikiwemo ndege za kipekee.
Hii ni pamoja na ndege zinazotumia jeti na propela, kama vile Antonov An-12, McDonnell Douglas MD-11 na DC-6.
Shirika hili lililoanzishwa mnamo 1945, kwasasa lina jumla ya ndege 154 mchanganyiko zikiwemo, Airbus A350-900, Boeing 787, Boeing 777, Boeing 767, Boeing737, Bombardier Q400 n.k

Taarifa fupi:
simpleflying.
 
๐—๐—˜, ๐—จ๐—ก๐—”๐—™๐—”๐—›๐—”๐— ๐—จ ๐—๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—œ ๐—›๐—˜๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—ข๐—ฃ๐—ง๐—” ๐—œ๐—ก๐—”๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐—ฃ๐—”๐—”?

{Ufafanuzi mwepesi}

#Helicopter ni ndege inayotumia bawa inayozunguka juu {panga} kutengeneza '#lift' ili iweze kupaa.
Kumbuka ndege ya kawaida inategemea kusukumwa na injini kwenda mbele ili hewa ya kutosha ipite chini kuweza kunyanyuka 'lift' na kupaa "take off"
Kwa Helikopta hali ni tofauti kidogo, kwani panga ndiyo zinakimbia/kuzunguka (rotation) ili kuzalisha 'lift'.
Lakini pia ina panga ndogo nyuma {mkiani} ili kuzuia body {#fuselage} kuzunguka pamoja na panga kubwa inapopaa (torque effect)

'Helicopter' kiasili ni ndege isiyotaka kupaa kwasababu viungo vyake lazima vifanye kazi kwa kupingana ili iweze kwenda sawa.
Hiyo ndiyo sababu 'Helicopter' inahitaji hesabu ya ziada kupaisha.

Rubani wa Helikopta muda wote hufanya kazi ya kuipa milinganyo tofauti "balance" kati ya panga kubwa na ndogo itakayomwezesha kupaa alivyokusudia.

#UPAAJI
{Endapo kila kitu shwari}
Rubani huwasha mzunguko wa injini #rpm hadi ifike kiwango kinachohitajika kwa kutumia '#throttle' {inafanana na mkono wa #acceleretor ya pikipiki}
Baada ya hapo huvuta juu '#collective' {inafanana na mkono wa #handbrake}
Kazi ya 'collective' ni kubadili 'angle' ya mapanga ya juu {rotor blades tilt} ili yawe na umbile linaloweza kukandamiza hewa chini na kupaa {mfano wa panga za feni zilivyokunjwa ili kuweza kusukuma upepo}.

Wakati wa kunyanyuka ina tabia ya kiwiliwili kutaka kuzunga na panga kubwa {#torque effect} hivyo rubani huzuia hali hiyo kwa kukanyaga pedeli ya kulia au kushoto kuiweka sawa, kutegemea kiwiliwili kinazunguka upande gani.
Pedeli hizi zina'control panga ndogo mkiani kama ilivyo kwenye ndege ya kawaida pedeli zinavyo'control' kielekezi (#rudder) mkiani ili kukata kona.

Ikifika kimo anachohitaji kwenda juu hutumia "#cyclic" ambayo ni 'control stick' iliyopo katikati ya miguu ya rubani na kazi yake kuinamisha panga kubwa kulia, kushoto, mbele au nyuma ili helikopta ielekee upande ambao panga litainamia.

Kama ni kwenda mbele atasukuma mbele taratibu "cyclic" ambayo itasababisha mzunguko wa panga la juu {#main_rotor_disk} kuinama kidogo mbele na kusababisha helikopta kufuata kuelekea huo.
Hii ni kwasababu panga kubwa litaanza kukandamiza hewa kwenda chini na nyuma na kusababisha helikopta kunyanyuka juu na kwenda mbele (lift & Thrust)

Rubani pia anaweza kuongeza nguvu ya injini kidogo kwenye 'throttle' yake au kuvuta "collective" ili kuongeza kasi ya panga kuzalisha nguvu hizo kutegemea na haraka au uzito wa Helkopta wakati huo akikanyaga kwa umakini pedeli kusahihisha uelekeo.

Zipo Helikopta ambazo hazina panga ndogo nyuma, bali ina panga mbili kubwa zilizo katika nguzo moja (rotor must) ambazo zinazunguka kinyume ili kuondoa tatizo la kiwiliwili kuzunguka na panga wanaita 'Coaxial rotor' au 'Counter rotating Blades' mfano Kamov #Ka52.

Pia kuna Helkopta nyengine yenye panga zote kubwa mbele na nyuma zinazozunguka kinyume mfano #Chinook CH-47.

Helkopta ni mashine ya kufanya kazi nyingi ambazo ndege ya kawaida haiwezi kufanya.
Na hii kutokana na uwezo wa wa kuganda sehemu moja hewani (hovering), kugeuka papo kwa papo, kwenda ubavu ubavu kama kaa (ngadu) au kurudi 'kinyume nyume'.

Helikopta inatumika katika kazi nyingi kama zimamoto na uokoaji (fire&rescue) katika sehemu ngumu kufikika na chombo kingine,
Jeshini kama kubeba mizigo (Cargo Helicopter #CH), kushambulia (Attack Helicopter #AH), na Shughuli nyengine za ziada (Utility Helicopter UH) na hata shughuli za kijasusi.
Kwa upande wa shughuli za kiraia Helikopta inatumika kama kubeba wagonjwa (Air Ambulance), Kubeba abiria au watu mashughuli (Passenger & VIP helicopters), kubeba mizigo na vifaa vya ujenzi mfano Crane 'Helicopters' na kadhalika.

Kutokana na ugumu wa kupaisha Helikopta wanaanga wanatumia usemi ufuatao;
"kupaisha ndege ya kawaida ni kama kuendesha baiskeli ya tairi mbili na kupaisha Helkopta ni kama kuendesha baiskeli ya tairi moja.

#Admin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ