Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

153753902189990083740.jpg
 
Muhimize au mshahara umekata anazuga?. Maana siku hizi kwenda baa niujasiri wa hai ya juu.
Usisahau kitoa pole kwa ndugu zetu, ningekua nina uhakika rambirambi zitafika ningemwomba mshana aanzinshe uzi maalumu wa michango.
Kweli

Ova
 
Aisee labda atokee mdau mwenye msiba unaomgusa moja kwa moja lakini hivi hivi hazichelewi kuelekezwa kwenye ujenzi wa kiwanja mlimani[emoji40][emoji40][emoji40]
 
Sipo kaka mi nimeingia huko kwa bahati mbaya.
😂😂😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏄🏄🏄
 
Back
Top Bottom