Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hii sheria miyayusho sana

Ova
Wanajua kabisa tunataka uchumi wa viwanda ambao masaa 24 ila kubadilisha sheria zao zilizokuwa zinakumbatia kilimo kwa muda huo.Maana kilimo kinaanza alfajiri kwahyo lazma uzuie watu wasinywe pombe hiyo asubuhi na kuzuia wasipitilize muda wa saa 5 usiku wakachelewa shambani
 
Wengine waanaingia mzigoni jioni
Asubuhi wanataka kustua kidogo

Ova
 
hiyo kitu, kama hujala una rest in peace
 

Attachments

  • nyoka.jpg
    40 KB · Views: 190
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…