ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Ha ha ha , fedha zetu na Kodi tunalipa lakn tunataabika, ki ukweli Makonda angalie katazo lake hili au walegeze maana limekaa kiuchumi wa kilimo badala ya viwanda[emoji16]Inabidi bia nizungushie mfuko wa rambo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova