Kwa kifupi mimi nimeishi mataifa kadhaa. Sikufanya kufuru sana ya ulevi , umalaya. Mengine sifanyi kabisa kabisa yake hasa ambayo sikuyataja.
Nipo pub moja nikipata pombe. Nawaona vijana wa kati ya 26-31 age. Umri wangu huu sikuwa bar kama wao. Nawaona mahandsome boys, na watoto wa kike wamewazunguruka.
Nikiwa na umri wa 27 nilikuwa taifa moja barani Asia. Niliingia club na wasichana wa kichina, ki Lithuania, Russian, Nepal, Bangui nk walikuwa wakitafuta mtu....nilifanikiwaga kupata demu wa kihindi, very beautiful..wahindi baadhi ni warembo sana.
Kwa kuwa nilikuwa mgeni nilimueleza ukweli akanielewa kwamba sikuwa na nia ya kutafuta kahaba. Akasema. What is the point 👉 we talk next day.
Hii itaendelea, nimelewa..I can't write properly