Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #28,521
Mnaoacha gambe msitutangazie, mtakuja kuumbuka!
Katika umri huo unaacha gambe ili iweje sasa? Unataka kuhujumu uchumi? Unataka kupunguza mapato ya taifa? Unataka kupunguza ajira? Hivi unajua pombe moja unayokunywa inazalisha ajira zaidi ya 29 na kuendelea? Umeshauriwa vibaya? Huna haja ya kuacha bali unaweza tu kupumzika ama kupunguza...