Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Daah niko zangu sehem nakula vyombo... sasa nimeagiza mchemsho wa utumbo nashangaaa nakutana na mifupa.... hivi utumbo una mifupa wakuu ?
🤔[emoji23][emoji23][emoji23]sifa ya utumbo sio mfupa bali ni harufu... Ile ya ndogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hawa lazma niwaletee mtiti aisee... wanaketa masihara kabisa sijui wanajua nimelewa.... yan utumbo n mifupa wapi na wapi
Jana nlikuwa chimbo moja usiku pub hyo kaunta alilewa wahudumu nao walilelewa bsi ilikuwa off off nlipona naagizia safari naletewa castlelite Dah nkasema hapa taayari
Nlipiga bia 3 dezo ktk bia 5 anasema mbili tu na Daiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…