Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hiyo nayo ni changamoto common kwa wanywaji wote, mimi huwa nakunywa kwa raha sana lakini akili ikimkumbuka wife tu basi raha yote kwisha mana naenda kutana na balaa si mchezo
Mkuu..inaonekana wife ni terror sana kwako..?
 
Katibu kapumzike.. Lugha inachora mistari [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cheers, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…