Muda wa kazi lazima ujiibe fasta, balaa kama una kichwa panzi.hhahah kumbe weng tunakunywa kwa kujiiba!lol
Sasa baadhi ya walipakodi wanapita chocho unategemea nini?.Tunategea
Muda wa kazi lazima ujiibe fasta, balaa kama una kichwa panzi.
Kama ni hivyo ruksa kutoroka mara moja kukiwa na gep.hahhha its true!mm nashukuru sina kichwa hyo
Nikaribishe tujidunge wotenapenda kunywa nikiwa na vibes fulani hv amazing!siwezag kufululiza aisee!naitaftia siku nijidungeeeeeeeeeeeeee
yap yapKama ni hivyo ruksa kutoroka mara moja kukiwa na gep.
Nikaribishe tujidunge wote
Niko tayari muda wote ,we we tuukiwa tayari karibu
Niko tayari muda wote ,we we tu
We panga,mie naibuka km mwewesawa!ntakuarifu wapi jiwe zuriπ
MamaaZungusha kama imekwisha
View attachment 863345
Nimehangaika muda mrefu sana kutafuta kitu tofauti cha kuchanganyia konyagi...nimejikuta hii inakua poa kweli...View attachment 878765
Haahaa...yani kama umenoina. My better half sipo nae karibuaiseee ikija lipuka hii...sasa raha ya hizo cocktail muwe coupleπ
sawa poleHaahaa...yani kama umenoina. My better half sipo nae karibu
Sema kuna mechi za ugenini jirani.. So I'll see. Lakini yataisha salama.sawa pole