Sumu haichanganywi na sumu.... Mwanaume halali na mwanaume mwenzake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swali kwenu walipa kodi, hivi ni kweli pombe na msuba haviendani?. Maana utakuta mtu wa njiti hagusi glasi na wa glasi hagusi njiti ni kwanini? Au ndio mgawanyo wa madaraka ?[emoji23][emoji23]
Sumu haichanganywi na sumu.... Mwanaume halali na mwanaume mwenzake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bia gan hiyo[emoji4] [emoji4]Twende kazi,chimbo km kawa View attachment 877862
Mtani nipo ndugu yangu nalima Mapapai huku kiluvya yaani sina muda kabisa wa kushika simu....ila mada zako huwa nazifwatilia kwa mbaliii nabaki kucheka tuHabari za siku tele
Gogoni kituo kipya cha police unaingia ndani hadi Liana hotel ndio hukoKiluvya? Sehemu gani.....!? Tukutane aisee...
Bado nipo nipo tuu... Niko kwa Mathias backyard bar hapa najidungua na pure drinking H2O... Ngoja nione uwezekano wa kusogea hukoMshana tafuta Uzi humu umeandikwa "Nauza Miche ya Papai Mbegu fupi"
Back to mada Leo utaangalia mechi wapi yanga akigongwa?
dont drive and drink!!!Wengine tupo road msimwambie ninja kangi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kinyonge ndani ya backyardView attachment 882094
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo naenda kugonga kitimoto ya kuchoma kwa Mrema hapo Luguruni ....na safari fupi fupi ...njoo pm nikutandike ofa huku tukichek yanga akichezea magoli
Wakati naenda kwa Mrema nitapitia kwanza hayo maeneo kukagua...nakunywa hapo safari 2 ndogo kisha nikale kiti moto ya kuchoma kwa Mrema ..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna chimbo moja kama unakunja kwenda mloganzila bar moja Tamu ina garden fulani
Vp bado ipo
Ova
Safi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakati naenda kwa Mrema nitapitia kwanza hayo maeneo kukagua...nakunywa hapo safari 2 ndogo kisha nikale kiti moto ya kuchoma kwa Mrema ..