Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Huwa nashangaa watu wasemapo eti acha BYERE ili ujenge, huwa siwaelewi kabisa yaan!!
 
Nimeagiza safari baridi... imeletwa napiga funda ladha tofauti... kuinua chupa nakuta chapa serengeti af sijawahi kunywa hii kitu... vp wakuu niendelee na serengeti au nirudi safarini maana sinaga desturi ya kuchanganya bia
 
Rudi usafiri tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…