Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ngj nistue pegi 1 [emoji23] hku nangalia upepo unaenda vp

Ova
View attachment 883351
Katibu nasikitika sana nilikuwa kwenye himaya yako leo asubuhi ila nikakukosa[emoji30][emoji30][emoji30]
IMG-20181001-WA0068.jpg
 
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Huwa nashangaa watu wasemapo eti acha BYERE ili ujenge, huwa siwaelewi kabisa yaan!!
 
Nimeagiza safari baridi... imeletwa napiga funda ladha tofauti... kuinua chupa nakuta chapa serengeti af sijawahi kunywa hii kitu... vp wakuu niendelee na serengeti au nirudi safarini maana sinaga desturi ya kuchanganya bia
 
Nimeagiza safari baridi... imeletwa napiga funda ladha tofauti... kuinua chupa nakuta chapa serengeti af sijawahi kunywa hii kitu... vp wakuu niendelee na serengeti au nirudi safarini maana sinaga desturi ya kuchanganya bia
Rudi usafiri tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Back
Top Bottom