Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Leo dambwe langu walipa kodi wenzangu naamini mnalipa kodi kimyakimya mida him, mie difenda limekuja hapa wametulazimisha tuingie club la sivyo makangarawe au chang'ombe ituhusu, na hii kibri ni vile hatujawahi kuwaonesha sisi walevi na wanywaji ni Nani nchi hii masimango yamezidi Mno[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Difenda si mngesema nao....[emoji23]
Duh ila ndy hivyo muda unabana
Ndomana mm napendaga kuleeawa nyumbani tu maana unakosana na mengi

Ova
 
Difenda si mngesema nao....[emoji23]
Duh ila ndy hivyo muda unabana
Ndomana mm napendaga kuleeawa nyumbani tu maana unakosana na mengi

Ova
Hapo wametuachia tulewe hadi saa saba na bendi ila ilipofika wakasema tuzame club fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…