Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Me nikiwa DSM napenda sana Calabash Mpakani, jumamosi huwa nakaa kaunta kuanzia SAA 4 asubuhi hadi band inafunga saa 6. Matukio sijawahi kutana nayo, ila ajali zitokanazo na tungi zaidi ya Mara 3. Nikija DSM ntakucheki mkuu. Nawe karibu makao makuu uje unywe dompo kwa 9 k
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katibu nakukubali sana
 
Mbona wote mnapita tu hakuna anayelike wala kucomment. wote wanafik kabisa. Nyinyi walevi siyo wanywaiji.

Ukinywa ukajielewa na kiasi chako na unatakiwa ufanye nini kesho hutaweza kusema enough unapokunywa
Shikamoo dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…