Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

KKa mshana samahana kwa kuku sumbua pia unaweza nisaidia chochote hpa et kuna swali linasema ,,media an operate ethically and statutory in Tz ,discuss . hili swali nalishindwa kulielewa naikaona kaka mshana mtaalamu wa ulonzi na uganguzi unaweza nisaidia maana una elimu dunia na elimu ahera so msaada tafadhali hta kwa kutoa point zake na maelezo kiufupiiii
 
[emoji117]Laiti kama watumiaji wa pombe wangejua madhara yake, wasinge kunywa kabisa hata mara moja. Lakini kwa kuwa hawajui ndio maana wana kunywa, na huenda labda wanajua madhara yake ila wanapuuzia.
[emoji117]Madhara ya pombe kwa muda mrefu ni mengi sana.

ANGALIZO :

[emoji117] Tafadhali naombeni msinifikirie vibaya. Cuz siwakashifu wala siwadharau na wala siwakejeli na wala siwasemi vibaya watumiaji wa pombe. Ila ni ushauri wa bure tu. Ushauri huu ni muhimu kwa faida yao. Ushauri huu utakusaidia kulinda afya yako. Kama wewe mtumiaji wa pombe utaona ushauri huu unakufaa fanyia kazi na uzingatie lakini kama utaona haukufai basi achana nao. Ni chaguo lako. Lakini natoa hii elimu bure kwako wewe mtumiaji wa pombe ili afya yako iwe salama.

[emoji117]Kwa kifupi ni kwamba:[emoji652][emoji652][emoji652][emoji652][emoji652][emoji652][emoji652]

[emoji654](1) Licha pombe kuwa na madhara kiafya lakini pia mtu anayekunywa pombe anadidimiza uchumi. Japo kuwa Serikali inapata kodi kupitia bidhaa hiyo na uzalishaji wa pombe unaendelea viwandani. Lakini madhara anapata mtumiaji. Ambapo ile pesa anayotumia kununua pombe kama angewekeza pesa yake kwenye mradi au biashara yoyote angepata faida baadae ambayo ni endelevu na angenufaika na biashara hiyo yeye pamoja na familia yake na kuchangia pato la taifa.

[emoji654](2) Kitu kingine mtu anayekunywa pombe husababisha hasara kwa watu wake wa karibu au ndugu zake. Hii ina maana kwamba ikifikia wakati amepata maradhi yatokanayo na pombe ndugu zake ndio watakaoshughulikia matibabu yake kulipia pesa ya matibabu hospitali. Kwa hiyo ina maanisha kwamba mtumiaji wa pombe anawasababishia hasara ndugu zake kumlipia pesa ya matibabu hospitali ambapo ile pesa ndugu zake wangefanyia mambo mengine ya kuleta maendeleo zaidi. Hii ina maanisha kwamba anawarudisha nyuma kiuchumi.

[emoji654](3) Mtumiaji wa pombe wa muda mrefu anapokuwa amelazwa hospitali hajiwezi, hapo tena anakuwa anawategemea ndugu zake badala ya yeye kutegemewa na ndugu. Hali hii inasababisha kupoteza pesa kwa familia na kitu kingine kuto-kuchangia mapato kwa taifa. Kwa sababu kila Mwananchi ana wajibu wa kulipa kodi. Huo ndio uzalendo.

[emoji654]Sasa hebu fikiria hasara zote hizo. [emoji117]Je, kwa mfano watumiaji wa pombe wooooote wakilazwa hospitali,

[emoji654] Kwanza fikiria Je, ni watu wangapi wanaotumia pombe?? Je, ni familia ngapi (wakina mama na watoto) ambazo zitaathirika kwa kukosa mahitaji ya kila siku kwa sababu tu kiongozi wa NYUMBA ambaye ni baba amelazwa hospitali kwa sababu ya madhara ya kunywa pombe kupita kiasi. Na Je, ikiwa vijana wengi ndio watumiaji na ikitokea wameathirika na ulevi kwa kunywa pombe kupita kasi... Je, hamuoni kama wataathirika wengi?? Je, hamuoni kwamba vijana ndio nguvu kazi ya taifa.

[emoji117]Watumiaji wa pombe jitahidini kutafakari hayo, ili muendelee kuchangia pato la taifa vyema na muendelee kuhudumia familia zenu vyema hali ya kuwa mnaendelea kufanya shughuli zenu za kila siku na afya njema.

[emoji117]Hayo ni madhara yanayohusu uchumi tu, sijui kama mmefuatilia na madhara ya kiafya.
 
Karibu mkuuu,
 
Mmh hicho kiingereza sijakielewa kwakweli ...na pia sentence hiyo ikinyooka napendekeza tufanye mada inayojitegemea tusiwachanganyie walipa kodi madesa
 
Asante sana kwa somo zuri lakini umeangalia upande mmoja tu...naamini kila chenye faida kina hasara na kila chenye hasara kina faida ....kanuni moja ya kuzingatia katika maisha ni kuwa na KIASI
 
Jamaa naona analeta nasaha km vile hatuzijui,me mwaka wa 11 nakunywa pombe sasa means nishakuna na ushauri wa kila aina,hadi baadhi ya mahusiano yalishavunjika kisa sitaki kuacha alaf leo mtu bado ananishauri tu aiseee??No way nitaacha siku nikiamua
Nilianza kunywa mwaka 1985[emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]kikubwa katika maisha ni kujitambua na kuwa na KIASI
 
Hivyo hamsomi title za uzi au mnajitoa ufahamu.Kuna yeyote aliomba hizo nasaha Sasa, mnajipa kazi ambazo hamjaombwa.
 
Karibu# alafu naona umekosea kuingia huu
Fungua uzi wako wa kutoa darasa mambo ya vilevi tuachie wnyewe

Ova
 
Utakuwa umekosea njia wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…